Stephan Lichtsteiner
JF-Expert Member
- Sep 13, 2022
- 520
- 1,476
Alikuwa anamkwepa wa gari dogo alikuwa anakatisha kama Kinyongaupande wangu hawa madereva wa mwendo kasi wanajiona spesho sana na kurelax wanapoendesha c wanapita peke yao.Hapo kama c tatizo hitilafu ya basi alizubaa mwenyewe.
Kwani Dar ipo mkoa gani ?"zibaki huko Gongolamboto"! Gongolamboto ya nchi gani maana Dar hakuna mwendokasi huko usemako.
Sasa hajasababisha madhara kwa abiria walio kwenye basi lake ?Alikuwa anamkwepa wa gari dogo alikuwa anakatisha kama Kinyonga
Kaokoa maisha yao kwa kuumia yeyeSasa hajasababisha madhara kwa abiria walio kwenye basi lake ?
Uko sahihiChanzo cha ajali ni gari ndogo imeingia barabarani ghafla, ndo chanzo
Alikuwa anamkwepa wa gari dogo alikuwa anakatisha kama Kinyonga
Huyu mtembea kwa miguu sidhani kama alipona.Uko sahihi
View attachment 2526139
Kumbe wanyarwanda hawajui vizuri barabara za jiji wanapita wananyata wanashangaa magorofa
Mbongo upewe picha story unayoupande wangu hawa madereva wa mwendo kasi wanajiona spesho sana na kurelax wanapoendesha c wanapita peke yao.Hapo kama c tatizo hitilafu ya basi alizubaa mwenyewe.
Uwe nazo wewe mjumbe kutokea Facebook?
Kwa kweli sidhaniHuyu mtembea kwa miguu sidhani kama alipona.
Huyu hapaPoleni nyote mliokumbwa.
Alimkwepa aliyekatiza bila tahadhariAjali ambayo chanzo chake ni pombe inatafakarisha sana
Wenye viberiti mpigwe marufuku kuingiza viberiti vyenu kwenye njia za magari.Hivi kwa nini hawataki kuweka mataa kwenye hizi njia.
Kwa sababu mchezo wa kukosakosana kati ya mwendokasi na magari binafsi huwa unatokea sana maeneo hayo
Au wanasubiri mpaka itokee ajali kubwa iwe msiba wa taifa
Sawa yetu macho ngoja tuone. Lakini tukio hili lilitakiwa liwafumbue macho wenye mamlakaWenye viberiti mpigwe marufuku kuingiza viberiti vyenu kwenye njia za magari.