Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

Idadi ya madereva wa kike kwenye ajira za udereva ni negligible hivyo hata ajali watakazosababisha ni negligible
Huwa tunaangalia percentages, katika hao wachache unaowajua, wangapi wamesababisha ajali, tafuta percentage yake; halafu uje kwa wanaume uone wangapi wamesababisha ajali, na utafute percentage yao. Mwishoni linganisha percentages hizi mbili; yaani percentage ya wanawake na ile ya wanaume.
 
Huwa tunaangalia percentages, katika hao wachache unaowajua, wangapi wamesababisha ajali, tafuta percentage yake; halafu uje kwa wanaume uone wangapi wamesababisha ajali, na utafute percentage yao. Mwishoni linganisha percentages hizi mbili; yaani percentage ya wanawake na ile ya wanaume.
Sasa una madereva wa kike 3, huku una madereva wa kiume 300 halafu usifie hawa watatu hawajafanya ajali ila hawa 300 wanne wamefanya ajali. Anyway uko sawa.
 
Basi la Mwendokasi likiwa linatoka Kivukoni limeacha njia na kuparamia maduka na miundombinu mingine pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenye makutano ya Jamhuri St.

Eneo hilo ni viambaza vya maduka, njia ya waenda kwa miguu na limekuwa linatumika na watu wasio na makazi kulala

Ukiangalia picha kwa umakini utaona baadhi ya virago vya kulalia ombaomba. Tuombe Mungu pasiwepo na madhara ya uhai.

====
Basi la Mwendokasi leo February 22, 2023 limepata ajali eneo la makutano ya Jamhuri na Morogoro baada ya kugongana na gari ndogo kisha kuparamia ukuta wa duka likijaribu kulikwepa. Imeripotiwa kutokea majeruhi kadhaa.

View attachment 2526152

View attachment 2525990

View attachment 2525762
Huyo raia mtembea kwa miguu katika video kasalimika kweli?
Duh, kweli binadamu tunatembea na kifo!
 
Mpeni pole dereva wakuu kosa sio lake kuna gari ndogo ilichomeka ghafla ikabd akwepee upande huo mana upande aliokuewpo nasikia kulikua na watoto wadogo...

Wote tunajua ugumu uliopo kugongesha upande wako ila jamaa kajitoa kafara watoto wapone.... Hakua kalewa
Nimeangalia ile video Dereva hakuwa na jinsi, ila kujipelekea upande wako napo ni hatari
 
Kwa kweli tuna safari ndefu sana; yaani watu wako busy eti dereva alikuwa kalewa😂
HahahahahahahA tatzo wekariri baada ya kusikia gari imeenda pembeni kabsa ya barabara ya mwendokasi wakaanza kutengeneza picha duh
 
Back
Top Bottom