Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli tuna safari ndefu sana; yaani watu wako busy eti dereva alikuwa kalewa😂Wengi walikoment kwa kuhukumu biLa hata ya kutumia akili ya ziada wameanza kumpa malalamiko dereva wa mwendo kasi tuna safar ndefu kama nchi
Mbongo we mwekee picha mambo mengine ataongeza mwenyeweKwa kweli tuna safari ndefu sana; yaani watu wako busy eti dereva alikuwa kalewa[emoji23]
Huyo dereva wa gari ndogo ni wa kuzabua makofi, shenzi kabisaAngalieni video hii ya chanzo cha ajali hapo dereva wa mwendokasi hana makosa aisee
Dereva wa gari ndogo kakimbia mbio wakati yeye ndiyo chanzo cha ajali!!Angalieni video hii ya chanzo cha ajali hapo dereva wa mwendokasi hana makosa aisee
Huwa tunaangalia percentages, katika hao wachache unaowajua, wangapi wamesababisha ajali, tafuta percentage yake; halafu uje kwa wanaume uone wangapi wamesababisha ajali, na utafute percentage yao. Mwishoni linganisha percentages hizi mbili; yaani percentage ya wanawake na ile ya wanaume.Idadi ya madereva wa kike kwenye ajira za udereva ni negligible hivyo hata ajali watakazosababisha ni negligible
Na unaweza baki Nyumbani,na bado ukafukiwa na tetemeko la aridhi!!Mbongo we mwekee picha mambo mengine ataongeza mwenyewe
Ova
Sasa una madereva wa kike 3, huku una madereva wa kiume 300 halafu usifie hawa watatu hawajafanya ajali ila hawa 300 wanne wamefanya ajali. Anyway uko sawa.Huwa tunaangalia percentages, katika hao wachache unaowajua, wangapi wamesababisha ajali, tafuta percentage yake; halafu uje kwa wanaume uone wangapi wamesababisha ajali, na utafute percentage yao. Mwishoni linganisha percentages hizi mbili; yaani percentage ya wanawake na ile ya wanaume.
Nimeona kama kasagwaHUYO MTEMBEA KWA MIGUU KAPONA KWELI? KAMA KAPONA BASI NI AJABU
Huyo raia mtembea kwa miguu katika video kasalimika kweli?Basi la Mwendokasi likiwa linatoka Kivukoni limeacha njia na kuparamia maduka na miundombinu mingine pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenye makutano ya Jamhuri St.
Eneo hilo ni viambaza vya maduka, njia ya waenda kwa miguu na limekuwa linatumika na watu wasio na makazi kulala
Ukiangalia picha kwa umakini utaona baadhi ya virago vya kulalia ombaomba. Tuombe Mungu pasiwepo na madhara ya uhai.
====
Basi la Mwendokasi leo February 22, 2023 limepata ajali eneo la makutano ya Jamhuri na Morogoro baada ya kugongana na gari ndogo kisha kuparamia ukuta wa duka likijaribu kulikwepa. Imeripotiwa kutokea majeruhi kadhaa.
View attachment 2526152
View attachment 2525990
View attachment 2525762
Kwaiy gar ndogo hajakamatwa alifanikiwa kukimbia...?Dereva wa gari ndogo kakimbia mbio wakati yeye ndiyo chanzo cha ajali!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kabsa sio makofi tu inabdi achokonolewe na spoku masikioni ili awe na akili sawasawa uyo baba aliekula mznga apo sjui kama amepona maskiniHuyo dereva wa gari ndogo ni wa kuzabua makofi, shenzi kabisa
Nimeangalia ile video Dereva hakuwa na jinsi, ila kujipelekea upande wako napo ni hatariMpeni pole dereva wakuu kosa sio lake kuna gari ndogo ilichomeka ghafla ikabd akwepee upande huo mana upande aliokuewpo nasikia kulikua na watoto wadogo...
Wote tunajua ugumu uliopo kugongesha upande wako ila jamaa kajitoa kafara watoto wapone.... Hakua kalewa
HahahahahahahA tatzo wekariri baada ya kusikia gari imeenda pembeni kabsa ya barabara ya mwendokasi wakaanza kutengeneza picha duhKwa kweli tuna safari ndefu sana; yaani watu wako busy eti dereva alikuwa kalewa😂
Sijaona walipoandika chanzo!Ukiwa mnywaji tegemea matokeo yyte dunia hii...mengi yao ni matokeo mabaya...
Hakuwa na sehemu ya kukimbilia, maana yaonekana gari baada ya kugonga ni kama iliongeza spidiHuyu mtembea kwa miguu sidhani kama alipona.
Yule babu sidhani kama kapona aisee maana kapelekewa kule kuleHuyo mwamba kakaa kwenye kiti katoka speed ya ajabu
Ova