Kisutu: Erick Kabendera afikishwa mahakamani, upelelezi dhidi yake haujakamilika

Kuna wakati nawaza hivi hii nchi ni Mali ya chama au wananchi? Nikipata jibu nitaludi
Nchi ni Mali ya wananchi na ndio maana kuna mahakama. Acha mahakama ifanye kazi yake tusiingilie!
 
 
A
Hii inch ni yetu sote!! Utawala unao zingazia utu na sheria ni muhimu sana.
Alipaswa kulijua hilo tangu awali kwamba nchi hii ni yetu wote na siyo ya mabwana zake anaowatumikia. Awe mzalendo, kashifa kwa viongozi na nchi yetu kufanywa na mtu anaye jinasabisha ni mwenzetu haitavumiliwa. Ni dalili za uhaini. Ona sasa ile benchi kakaa peke yake!
 
Sioni uoga wowote kwake, labda kama unataka tuone kaingia woga. Lengo hasa ni kumtia woga, sasa wanapima upepo kama kaogopa. Hana lolote la kuogopa maana anajua ni mashitaka ya kubumba, sana sana ni kupotezeana muda.

Je na Wewe upo katika lile Jopo la Mawakili wake?
 
Ameiona rangi halisi ya dunia ambayo alikuwa hajawai kuifikiria kama ipo kweli.

Picha ya leo anaonekana ni Mtu mwenye kutia Huruma, Kujutia Jambo fulani, hajapata Usingizi mzuri, alikuwa hapumziki, ana Maumivu ya jumla jumla ( Watu wa Medani hapa najua mtakuwa mmenielewa ) lakini kubwa ni mwenye mawazo mengi ndani yake. Hata hivyo bado nawasubiria Wanasaikolojia Wabobezi / Wabobevu wa JamiiForums ili wao ndiyo wanielimishe vizuri zaidi hasa juu ya Picha zake pamoja na Mwonekano wake wa leo pale Mahakamani. Bila shaka Sisi ambao hatujawahi Kukamatwa ( Kusumbuliwa ) na Mamlaka ila tunapiga mno Makelele Mitandaoni kuna la Kujifunza na kuwa nalo Makini.
 
Hicho kinywa chako kichafu hata kiropoke nini haitakusaidia. Lugha unayo tumia unaona umeendelea maana umesikia inasemwa na gredi ya watu wa hali ya chini waliokataliwa na jamii ya watu wastaarabu huko maremani! Huku
Tanzania lugha hiyo unajidhalilisha mwenyewe,maana watanzania wanaoishi humu nchini (Tanzania) ni wastaarabu wamelelewa kwa maadili mazuri kama ya wafalme wa uingereza. Lugha kama hii yako waTanzania hawaithamini. Gredi yako ni ya chini sana ndiyo maana wachache wamekujibu. Mimi nimekujibu kwasababu kutokana na lugha yako nimejua unaishi na watu wahali gani. Pole sana.
 
Watamzungusha miezi kadhaa alafu watamuachia baada ya kukosa evidence, ndiyo utawala chini ya jembe ulivyo. Hataki kukufunga, anataka akusumbue tu utishike na wengine wakuone uogope. Stupid
Na mwisho unajirudi unakuwa mzalendo mzuri - mfano hai ni Halima Mdee! Tangu alala selo mmeisha msikia akibwata kama zamani? Sasa hivi anaheshima tele. Huyo Kabendera akitoka huko atajifunza na kihaya au kinyambo maana hazijui lugha hizo.
 
Wale wote waliokua wanamjaza upepo wako majumbani mwao wanapambana na hali yao.Utaona kwenye bench yuko peke yake.Hapo ndio machungu na majuto yanapomuingia. Hawezi kuwa sawa psychologically.
 
Kwahiyo wewe mwenye AKILI TIMAMU unakubali vipi kuongozwa na WAJINGA?Huoni hao unaowaona WAJINGA ni wanaakili na ndio maana saiz uko nyuma ya keyboard na fake ID unatema pumba ukiogopa kudakwa?
 
Mungu mbariki Kabendera
 
Kwaiyo kwakuwa hatoishi milele na kutawala milele ulikuwa unataka watu wakifanya makosa wahangaliwe tu?.
Hahahahahah hao jamaa ni wapuu****z sana.Yaani wakifanya UPUMBAVU na wakishughulikiwa wanakuja juu oooh hata ishi MILELE, utadhani mtu ambaye hataishi MILELE ni haki yake kufanyiwa UPUMBAVU.
 
Na mwisho unajirudi unakuwa mzalendo mzuri - mfano hai ni Halima Mdee! Tangu alala selo mmeisha msikia akibwata kama zamani? Sasa hivi anaheshima tele. Huyo Kabendera akitoka huko atajifunza na kihaya au kinyambo maana hazijui lugha hizo.

Akili ndogo
 
Hilo halina shida maana hata Elbashir aliwafunga wengi kwa uonevu hivi hivi. Ila hata leo naye ni mfungwa humo humo na aliowafunga kwa uonevu.
Haya ni maneno ya kujifariji hahahahahahah. Atatoka 2025 na kuendelea na maisha yake na naamini Wewe utakua miongoni mwa waimba pambio za kumsifu.
 
Wale wote waliokua wanamjaza upepo wako majumbani mwao wanapambana na hali yao.Utaona kwenye bench yuko peke yake.Hapo ndio machungu na majuto yanapomuingia. Hawezi kuwa sawa psychologically.

Nakubaliana nawe kwa 100% Kiongozi na kuna Katabia ambako kamejaa Unafiki utakuta Watu Siku ambayo Mtu wao wanayempenda labda amekamatwa utawaona wanapiga Kelele zao za Kinafiki kwa Siku mbili tatu tu na baada ya hapo wanaanza Kumsahau Mwenzao na Yeye Mhusika kujikuta kabaki peke yake. Na wengi Wao hata huwa hawaendi Mahakamani bali huko Mahakamani utawaona Ndugu zake pekee au wale Marafiki zake Makamarada tu. Bado nasisitiza Umakini ni Muhimu kuliko Kulewa Sifa za Watanzania Wanafiki wengi ambao ukiwa na Matatizo wanakutupa ila huwa wanakutumia sana kwa Malengo yao makubwa ya Kisiasa ( hasa Kiupinzani ) na Kianaharakati zaidi. Hizi Keyboards zinatudanganya mno Kiongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…