KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

Nelson Mandela pia alipitia haya yote, Hichilema HH naye pia, sasa mwenyekiti wetu naye wanamsulubu lakini historia za wote miamba watatu hawa wakaishia kuongoza Mataifa yao mbali ya mbinu zote walizotumia watawala kujaribu kushindana na historia.
Usimfananishe Nelson Mandela na Kibaka Mbowe,aka mkora mbobezi
 
W
acha niendelee kufikiri kwanza nitakurudia.
 
No mbili ndo kichekesho, yani huyu alikua anavamia na anaonekana kwenye clip za cctv ,akiwa na mitutu, na gari zenye plate no za UN feki, usiku wa manane , ambae anaonekana kwenye camera akiwa kwenye Mduka usiku wa manane

Huyu anaelaniwa na KILA mtu ,ikiwemo clip ya bibi anaesema afunguliwe amgate mahala , ndo huyu alietaka jeruhiwa na Mbowe,

Acheni kisingizio Cha Mbowe, mchukueni mpelekeni ukanda ule ,na mwachieni mtaani Kama kweli wananchi hawatamgata mahala mpaka akakoma,
 
Magufuli huyu, mwizi na muuaji mkubwa, na sabaya wake? Majambazi na wauaji? Acheni kukejeli. Wengi wamepoteza maisha, kwa kubomolewa nyumba, kwa kuuwawa moja kwa moja, kwa kutumbuliwa kwa uonevu
Tulieni malaika wenu ashughulikiwe, sisi Magufuli wetu mnayemwita mwizi ameshaondoka.
 
Hivi UGAIDI unaujua wewe?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Gaidi ananyooshwa kwelikweli
Katika kesi 63/2021 Mhe. @freemanmbowetz anatuhumiwa kufadhi Ugaidi kiasi cha shilingi Laki 6 na upande wa Jamhuri umeieleza Mahakama kuwa Matumizi ya fedha hiyo ni kama ifuatavyo;

1. Kulipua vituo vya Mafuta

2. Kulipua mikusanyiko ya watu

3. Kukata miti na kusambaza barabarani
 
Hata jamhuri wakileta mashahidi elfu 10 na vielelezo elfu 50 bado hawawezi kushinda kesi yao ya kubumba ,ni vituo gani vilivyolipuliwa? Au ni assumptions tu?
 
Nawashangaa sana Chadema, hata kwenda mahakamani mnashindwa, mnakaa kwenye simu na computer zenu huku mnasubiri hao mnaowaita wafadhili waandamane. Mtasubiri sana. Gaidi Mbowe ana jambo lake linamsubiri gerezani.
 
hawa jamaa mimi hata siwahurumii maana kitendo cha kusherekea kifo cha Magu ni laana tosha acha iwatafune mpaka 2025
 
Mashaidi wote ni CCM. Kama vilivyo kwa Sabaya. Mashaidi ni Chadema. Goma ni Ndroo
 
Mbowe aliponzwa na kauli kama hizi pia, kwamba "mahakama ikishindwa kumshughulikia nitamshughulikia mtaani"

Najua kilichompoza sabaya.
 
Unaukumbuka ule ushahidi wa Lwakatare?.
 
moods badilisheni kabisa na mleta mada maana mnaona kama vile mimi zombi nimekosea kuleta hii mada. sasa kuniwekea haya mavyokovyoko yenu mnaamaanisha ni mimi ndie nimeongezea mada yangu au nyiniyi mmeingilia kati na kuongezea yenu ili nionekane mimi ndie mwenye mada nimeongezea wakati sijamfanya hivyo? huu utaratibu mmeuza lini mbona mnaingilia mawazo ya mtu aliyotoa na mnayabadili na kuweka mnayotaka nyinyi? sasa haya ni maoni yangu au yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…