Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #121
Naingia kazini rasmi kuwatoa MasheikhNa mashehe jamani musiwasahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naingia kazini rasmi kuwatoa MasheikhNa mashehe jamani musiwasahau
Anaitwa Henry KilewoHuyu kaka alieshika kidevu ni nani.
Nimependa muonekano wake.
Kama ananiangalia vile anataka anikonyeze. 🥰🥰🥰
Bahati yao kwa sababu wakina Mdee wameshaacha ujinga wao wa zamani wakisaccos ndiyo maana wameachiwa lakini wasirudie.
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde
=====
Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 .
Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote hawa walishitakiwa kwa kosa la kufanya mkusanyiko usio halali na kutotii amri halali katika geti la gereza la Segerea , Jambo lililotafsiriwa kama nia ovu ya kutaka kuvunja Gereza
Kwani wakina mdee wako wapi sasa hivi ?Bahati yao kwa sababu wakina Mdee wameshaacha ujinga wao wa zamani wakisaccos ndiyo maana wameachiwa lakini wasirudie.
Nyumbani kwao.Kwani wakina mdee wako wapi sasa hivi ?
Wale wapiga kelele za LEGACY ... mnasikia !!!??? Hizo ndio LEGACY alizoacha MWANAKWENDAZAKE zenye kufahamika ambazo zitabaki kwenye vitabu vya HISTORIA na kwenye MIOYO ya watanzaniaDah, Jiwe bwana! Eti kuvunja gereza!
Nchi imepitia hali tata sana miaka mitano iliyopita!
Hujui kitu. Wawashukuru wakina Mdee kwa sababu wametubu!Wale wapiga kelele za LEGACY ... mnasikia !!!??? Hizo ndio LEGACY alizoacha MWANAKWENDAZAKE zenye kufahamika ambazo zitabaki kwenye vitabu vya HISTORIA na kwenye MIOYO ya watanzania
Lakini yale madaraja ya Ubungo na Tazara kuna siku yatabomolewa ila HISTORIA ya CHADEMA kuataka kuvunja gereza la Segerea itabaki kwenye maandishi, picha mnato, video clips na hata kwenye mioyo ya watanzania huku wakirithishana taarifa vizazi kwa vizazi
Kwakweli bora ALIVYOKWENDAZAKE MWANAKWENDA
endelea kutoboa siri ... Enheee ikawaje ?Nyumbani kwao.
Aiseeeee !!!Wale wapiga kelele za LEGACY ... mnasikia !!!??? Hizo ndio LEGACY alizoacha MWANAKWENDAZAKE zenye kufahamika ambazo zitabaki kwenye vitabu vya HISTORIA na kwenye MIOYO ya watanzania
Lakini yale madaraja ya Ubungo na Tazara kuna siku yatabomolewa ila HISTORIA ya CHADEMA kuataka kuvunja gereza la Segerea itabaki kwenye maandishi, picha mnato, video clips na hata kwenye mioyo ya watanzania huku wakirithishana taarifa vizazi kwa vizazi
Kwakweli bora ALIVYOKWENDAZAKE MWANAKWENDA
Lala wewe bado unachat tu mumeo anahudumiwa na nani sasa??endelea kutoboa siri ... Enheee ikawaje ?
ALikuwa ni shetani kabisaCase zenyewe zilikuwa hazina mashiko Jiwe bhana, mfano kesi kama hiyo unaiskilizaje?
Kwanini wewe usipeleke huo ushahidi ili sheria ichukue mkondo wake? Jinai haifiSerikali yenye maadili hulinda na kuitetea katiba na huhakikisha kuwa hakuna mtu anaekuwa juu ya sheria. Hii ina maana kuwa mtu akivunja sheria anapelekwa mahakamani na kisha anapata haki yake.
Watu walifanya vurugu na kuingia eneo la gereza lisiloruhusiwa. Ushahidi upo na mbaya zaidi walimchania sare askari magereza. Mashahidi wakuu ni haohao maaskari magereza.
Kwa nini msipeleke mashahidi ili waliovunja sheria wapate haki zao?
Au sababu mmewapa ubunge wa kwenye sinia ndio maana mnawabeba hata wakivunja sheria?
Huku ni kukosa maadili ambako hakufai kabisa.
Comment ya wiki.Mama samia aliishatoa muelekeo wa kuachana na kesi zote za kipumbavu zilizoanzishwa na utawala wa hovyo uliopita. kwa nini utekelezaji hauonekani?