Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

Naona mazao ya dikiteeta yanakauka kwa speed ya 5G.

Hongera zake mama yetu kwa angalu kuonyesha kuwa anauchungu wa mzazi.
1620217280233.jpeg
 
Tanzania ina maajabu leo hii kuna mbunge asiyekua na chama huku kuna watu waliapa kuisimamia katiba na kumwomba mwenyezi Mungu awasaidie, Mwenyezi Mungu akiwazingua muanze kusingizia magonjwa 😂
 
HAKI HUINUA TAIFA
TAIFA LIKIINULIWA WATU WAKE HUPATA UTULIVU
Taifa limetulia, hali ni tulivu, hyo ni baada ya yule yona muasisi wa haya yote kutoswa baharini. Bahari sasa imetulia, mambo ni shwari, maisha yanaendelea.
 

Taarifa zaidi zitawajia hivi punde

=====
Hii ni baada ya Upande wa Mashitaka kushindwa kuleta mashahidi mbele ya Hakimu Huruma Shaidi kwa ajili ya usikilizaji wa kesi hiyo leo tarehe 5 May 2021 .

Walioachiwa huru ni Watu 27 akiwemo Halima Mdee , ambaye ni Mbunge asiye na Chama chochote , wote hawa walishitakiwa kwa kosa la kufanya mkusanyiko usio halali na kutotii amri halali katika geti la gereza la Segerea .
Hivi nyie watu, Jiwe kufa juzi tu kila kitu chake mnakitengua siyo. Mungu anawaona
 
Back
Top Bottom