Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

Meko bhana.... eti ukiyachenjua yale makinikia malori 37 ya tani saba yangejaa....

Hahahha kweli jamaa alituona sisi mazwazwa sana...

Yale maprofesa sijui yako wapi hivi sasa... maana yalimdanganya mwendazake kama mtoto wa chekechea
Yaani Jiwe kulikua na namna tu ya kumuingia, ilikua ukimuweza tu basi unamuingiza "KINGI" kiulaiiini!
 
Wasingeweza maana mama kesha sema hataki uonevu!!! Dhamira zingewasuta!!!
Asante sana mkuu pia shukrani nyingi sana zimwendee mama yetu angalau hadi hapa tulipo fikia.
 
Yaani Jiwe kulikua na namna tu ya kumuingia, ilikua ukimuweza tu basi unamuingiza "KINGI" kiulaiiini!
Kama Kina Bashite waliweza kumkamata, basi jiwe lilikuwa jepesi sana
 
Yani mtu asiye hata na nyundo atavunjaje yale mamawe yaliyojenga magereza... huku askari magereza wakiwaangalia tu yani...
Si ndio hapa sasa! Na askari magereza walivyo katili chini ya mwendazake leo hii hao viongozi wa Chadema wangekua historia.
 
Asante sana mkuu pia shukrani nyingi sana zimwendee mama yetu angalau hadi hapa tulipo fikia.
Nani kama mama!!! Mama ana uchungu wa mwanae kila siku!!!! Tunakupenda raisi wetu Sammy Hassan!!!
 
Nani kama mama!!! Mama ana uchungu wa mwanae kila siku!!!! Tunakupenda raisi wetu Sammy Hassan!!!
Kwa anavyoenda bado tunaimani naye sana.
Labda abadilike
 
Waliovunja kina Khalima wote walikuwa upande wa Magufuli na aliwapa ubunge yeye na sasa wanalindwa na ndugai
 
Kwa anavyoenda bado tunaimani naye sana.
Labda abadilike
Mkuu habadiliki huyu. Kaletwa na Mungu baada ya kuona watoto wake tunateseka na hatuna msaada. Tunamuombea kwa Mungu bila hata yeye kuomba tumwombee.
 
Mkuu habadiliki huyu. Kaletwa na Mungu baada ya kuona watoto wake tunateseka na hatuna msaada. Tunamuombea kwa Mungu bila hata yeye kuomba tumwombee.
Hakika Mungu amjalie afya njema kwa kututoa kwenye tanuru la moto
 
Hivi unalijua Gereza?,
Acheni utani,Gereza siyo Kama zizi au kibanda Cha kuku.
Nashangaa vifaa vyakuvunja nikama nyundo kubwa.shoka.sururu .msumeno wachuma. Chuma kinacho itwa fatuma.tindo.bunduki.sasa najiuliza walitumia kifaa gani kati yahivi ?na walipita navyo vipi? Nikijibiwa nitachangia asante kwa maana akili yangu sishikiwi namtu naituma mwenyewe initumikie.
 
Back
Top Bottom