Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

Kisutu: Kesi ya kuvunja gereza la Segerea inayowakabili viongozi wa CHADEMA yafutwa

"tufauti" ndio nini?
Hivi kwa nini unapenda "kinyume nyume"!!??
Elimu huna.
Hekima huna.
Werevu huna.
Hata heshima unashindwa kuwa nayo ambacho ni kitu cha bure!!!
usiparamie jiti usilolijua bichboi
 
Hizi zilikuwa ni kesi za kijinga sana.

Ifike wakati kuwe na sheria ya kuwashitaki na kuwashughulikia watendaji wa ngazi zote wanaotunga kesi za kipuuzi not in good faith ili kukomoa na kutesa wale wasiowapenda
 
Polisi wamechoshwa na mbio za cross examination ,unazani unapoulizwa mbele ya watu wazima maswali kama haya mchezo

Umesema ulisoma mchepuo wa sayansi
Jib,ndio

Swali kwann akati mwanamume anakojoa ili mkojo uishe kibofuni nilazima atikise uume or must shake it

Jib,unaniuliza swali gani hilo

Hakimu ,shahidi jibu ndoswali lenyewe msisitizo jibu

Note.unazani kazi ndogo,hakuna mashahidi kwahyo magereza yetu hayana walinzi!!!!hahahaaaa lisu rudibana tumemisi mengi sana..
 
Jiwe alikuwa anatumia nguvu nyingi kwa vitu visivyo na msingi wowote, apumzike mahali alipojiandalia
 
Back
Top Bottom