Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
umesema vyema.kuna mtu mwingine anashindwa kuvumilia bodaboda na bajaji wasiojielewa, bila kujua mle ndani kuna mke wake au watoto wake. anawagonga kuangalia ndani kaua ndugu zake. vipi hapo? ni kweli bodaboda kakosea, ila wewe usiyekosea umetumia hekima kiasi gani?
Ndio huo udereva upo mikoani si Dar.mwaka 2000 ndio nilijifunza udereva shuleni, mwalimu alituambia unapoendesha gari, jua kuna mtu unaweza kuona yupo vizuri tu mbele yako, kumbe kichaa, mwingine kalewa, mwingine kavurugwa na maisha, mwingine kuna kitu kinamsumbua, hivyo badala ya yeye kuwa dereva, wewe ndio unatakiwa kuwa dereva badala yake, hivyo kwa kuendesha kwa kujihami ni kama wewe utaendesha magari mawili, la kwako na la kwake. hekima kama hiyo ikitumika, tunaweza kuokoa maisha ya wengi wanaokosea. kwasababu hata sisi wengine kwenye udereva huuhuu tulishakosea sana barabarani na kama upande wa pili wasingetuvumilia, wangeshatugonga na kupotea huko kabisa.
mwendo kasi wakati inajengwa na strabarg, nilikuwepo, nimeishi hapa bongo miaka si chini ya 20. udereva wangu nilijifunzia hapahapa Dar. pia sijaishi tu hapa bongo, nimeishi pia america na ulaya ambako mwendo kasi kama hizi zipo, za magurudumu na zinazotumia reli na zinatembea humuhumu kwenye barabara moja (trams). na hakuna ajali nyingi kama hizi pamoja na hayo.We, utakua unaishi USHETU, hujui mwendokasi [DART ] ni magari gani, unafananisha na matreka ya kulimia huko kijijini.
Cocah Nakupenda asee!!Ila boda boda jamani, cjui hata akili zao zinafanyaje kazi, inashangaza na kuogopesha kwa kweli, lol
Well said falk, kwahiyo huko Ulaya na Marekani ulipoishi BODA -BODA ni "vyombo vya " usairishaji au ni Usafiri binafsi?mwendo kasi wakati inajengwa na strabarg, nilikuwepo, nimeishi hapa bongo miaka si chini ya 20. udereva wangu nilijifunzia hapahapa Dar. pia sijaishi tu hapa bongo, nimeishi pia america na ulaya ambako mwendo kasi kama hizi zipo, za magurudumu na zinazotumia reli na zinatembea humuhumu kwenye barabara moja (trams). na hakuna ajali nyingi kama hizi pamoja na hayo.
Fuateni sheria.Acheni kiburi cha uzima.
Na ndio wanaua watu sana kwenye zebra, na kuchubua magari, kuvunja side mirror .Bodaboda hawaheshimu Sheria za usalama barabarani ,wanaona magari yamesimama bila kujiuluza ni nini kilichosimamisha hayo magari wao na haraka zao wanavuka , yaani wanafanya fujo tupu barabarani.
Kufuata Sheria kunapunguza Ajali.Huu ni usafiri wa kipumbavu sana
Hapana mkuu nilimaanisha linapokunja kona si linakuwa limetengeneza kama upinde ule wa kuwindia! Sasa Bodaboda akataka kujaa hapo katikati!Upinde huhu huu au 🌈
Tutafute pesandip maana wamejaa hapo na ambulance! angekuwa mswahili wasingehangaika
Hao ni wapiga kura wa wanasiasa, hawataki wagusaBodaboda haikupaswa kuwa usafiri wa umma...
Kosa lilianza kwa kuhalalisha hili...