akilimalikisuse
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 266
- 139
Mbona unatufokea mkuu? hahahahaaaaaaaHiyo kesi yake ilikuwa inatajwa saa 11 alfajiri au?
Mbona unatufokea mkuu? hahahahaaaaaaaHiyo kesi yake ilikuwa inatajwa saa 11 alfajiri au?
Wakati mwingin mahakam wanakuw hawana kazi za kufanyaSalaam Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hajatokea Mahakamani kama ilivyotarajiwa kwenye kesi inayomkabiri namba 123 ya 2017 mbele ya Hakimu Mheshimiwa Enock Matembele.
Wakili wa Utetezi Peter Kibatala, ameiambia Mahakama kwamba Tundu Lissu alikuwa mgonjwa kwa kipindi kirefu, amerudi majuzi (Jumatatu). Kutokana na hali yake, ilishauriwa apate mapumziko (isolation/karantini) aweze kuangalia afya yake, hivyo tunaomba tarehe nyingine, tunaamini siku hiyo atakuwepo.
Mawakili Upande wa Jamhuri,
Wakili Mkuu Renatus Mkude na mwenzake Wakili Wankyo Simon (Wakili Mwandamizi) hawakuwa na pingamizi, hivyo kesi imeahirishwa hadi tarehe 26 August 2020
View attachment 1521207
NOTE: Leo hapa Kisutu watu hawaruhusiwi kuingia isipokuwa wenye kesi na Mashahidi tu. Ulinzi ni Mkali wa Polisi kila sehemu hapa Kisutu. Hawataki mtu asogee.
=====
Sasa tunaingia Kesi ya Pili ya Lissu Open Court #2.
Hii Kesi ya Pili tupo kwa Hakimu Mbando.
Kesi inayo mkabiri Tundu Lissu namba 236 ya mwaka 2017 ya Uchochezi imeahirishwa hadi 26 August 2020. Sababu za kutokufika zinafanana na kesi ya Kwanza.
Kwa leo kesi zake zote zimeahirishwa.
Mwisho
wewe ni CCM?Iwekeni hii phont phage ya magazeti yenu.
We ungefanyeje?Wakati mwingin mahakam wanakuw hawana kazi za kufanya
Empty headed ndo huwa wanaisumbua serikali kwa manufaa ya wananchi, lakin ninyi mlionazo hamna ni useless bogusHuyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.
Embu niambie ni manufaa yapi yaliyoletwa na Chadema nchi hii!Empty headed ndo huwa wanaisumbua serikali kwa manufaa ya wananchi, lakin ninyi mlionazo hamna ni useless bogus
ndio hivyo wanalipwa mshahara, sawa na MATAGA wanalipwa buku 7 kwa ssiku kusifia kila kitu hata upepo ukivuma tunambiwa ni juhudi za naniiWe ungefanyeje?
Wangeachana nae tu.. Atawapa tabu sana.% 1 ya IQ ya Lissu= sisiem wote kuanzia mwenyekiti mpaka mfagiaji wa Lumumba.
Huyu jamaa Lissu huwa namchukulia kama mtu mwenye IQ kubwa sana TZ nikitoka mimi, ilikuwa bado kidogo anikaribie
Inaonekana mama yako alikubemenda ndiyo maana akili yako sawa na NdombwindoHuyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.
Hivi kama umeshindwa kuona umuhimu wa upinzani(hasa CHADEMA) angalau kuanzia 2015 nitakwambia nini uelewe?Embu niambie ni manufaa yapi yaliyoletwa na Chadema nchi hii!
Kumbuka pia anataka kuwa rais, majukwaani itakuweje kama unatoa sababu za namna hiyo mkuuMmempiga risasi,sasa hivi ni kilema halafu mnataka awahi mapema hii yote,nye ni green and yellow devils
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa% 1 ya IQ ya Lissu= sisiem wote kuanzia mwenyekiti mpaka mfagiaji wa Lumumba.
Huyu jamaa Lissu huwa namchukulia kama mtu mwenye IQ kubwa sana TZ nikitoka mimi, ilikuwa bado kidogo anikaribie
Kumbuka pia anataka kuwa rais, majukwaani itakuweje kama unatoa sababu za namna hiyo mkuu
Mkuu nadhani kilicho kuchanganya hapo ni neno Isolation, kama sikosei hilo neno umelijua baada ya kuja corona so unafikiri limekuja hiki kipindi cha corona. Matanga mnatia aibu kwa kweli.Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.
Kodi huwa unawapa chadema? Au wew ulitaka walete manufaa gani kama mfano?Embu niambie ni manufaa yapi yaliyoletwa na Chadema nchi hii!
Tarehe 26/8 kamepeni za Uraisi zitaanza...mawakili angalieni kalenda vzr na ratiba ya UCHAGUZ ili mambo yaende vzr.
Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.