ATRACURIUM
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 753
- 926
Wangeachana nae tu.. Atawapa tabu sana.
Hapa naona kila mmoja anamlia timing mwenzake kama mchezo wa Draft lakini soon tutaona matokeo
Wangeachana nae tu.. Atawapa tabu sana.
Dunia haikaukiwi na vituko eti "isolation"Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.
Kabla ya kuwa marehemu lazima upitie hatua flani Mabeberu huiita “Denial” hivyo sintashangaa utopolo wako.Wewe ndio empty head ndio maana unadhani mambo ya kisheria yanakwenda kama kucheza tokomile!
Mlidhani Lissu kwa vile kaja basi atababaika na kesi zenu za kubumba hivyo atakuwa Kisutu SAA 12 asubuhi?
Mind you, huyo ni Rais wa nchi hii miezi mitatu ijayo hivyo hata system inalijua hilo na wanapaswa kumtendea kiheshima kabisa kwani unadhani hapo December hao watumishi walio ofisi ya DPP na Mahakama watakuona wewe Ndombwindo au utakuwa umejificha kwenu Nanjilinji!
Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.
Probably it’s because your teacher too overlooked the subject entitled “Cheap is expensive”. From the experience, I have learned that anything cheap comes with a lot of outcomes I can’t tolerate.It's you who is empty headed...
Your school and teachers never taught you about " cost planning" and "priorities",....right?
If you have an opportunity to get what you called "cheap publicity ", then why opt for "expensive publicity?"
So, don't you think that may be your mind is improperly fixed?
Sina muda wa kipuuzi kuzurula mahakamani brah! Got number of things to accomplish, hao wanasiasa Malofa wajibebe wenyewe.
Senseless statement!Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.
Wewe ni shetani unatumia nguvu nyingi sana kutetea ushetani wa wanaokulisha.Wakili wa Utetezi Peter Kibatala, ameiambia Mahakama kwamba Tundu Lissu alikuwa mgonjwa kwa kipindi kirefu, amerudi majuzi (Jumatatu). Kutokana na hali yake, ilishauriwa apate mapumziko (isolation/karantini) aweze kuangalia afya yake, hivyo tunaomba tarehe nyingine, tunaamini siku hiyo atakuwepo.
Mawakili Upande wa Jamhuri, Wakili Mkuu Renatus Mkude na mwenzake Wakili Wankyo Simon (Wakili Mwandamizi) hawakuwa na pingamizi, hivyo kesi imeahirishwa hadi tarehe 26 August 2020.
***************
Kwa sababu hizo hapo juu na za kipuuzi huyu Wakili wa Serikali Renatus Mkude anatakiwa kuwajibishwa kwakua haijui kazi yake vyema.
Tundu Lisu katoka Airport kaenda Makao makuu mtaa wa ufipa na kuhutubia Kidogo.
Jumanne kaenda uwanja wa Taifa kuaga Hayati Mzee B. Mkapa inasemekana wapizuiwa kwa sababu za kiitifaki.
Sio upuuzi huu leo kushindwa kwenda mahakamani kusikiliza aliyoyakoroga kwa kisingizio cha kuangaliwa afya yake?
Aidha huyu Bwana alikua keshapona muda mrefu Ila kilichokua kinamzuia kuja ilikua ni kutojua Usalama wake atakapotua nchini.
Mara ya mwisho taarifa zinasema Si jeshi la Polisi wala chombo chochote cha Usalama kilichojibu barua ya kumthibitishia Usalama wake.
Karudi nchini baada ya kuona anapuuzwa au amegundulika kwamba ni mpuuzi hivyo apuuzwe?
Ila time will tell. Siku akibadilishiwa kibao na kufutiwa dhamana tukutane hapa jukwaani kumtukana Rais na Muhimili wa Mahakama kwa kuwa ndilo tunaloliweza " ushujaa nyuma ya keyboard"
Barbarosa unaumwa na kensa ya chuki dhidi ya Tundu lisu. Lisu ni mtu mwenye muono mpana na kichwani yuko vizuri siyo wewe unapiga kelele kama mlevi wa gongo. Umetawaliwa na chuki zisio za msingi. He calls a spade, a spade sio mpapai. Na hiyo ndo hulka ya kipenzi cha Mungu. Allah ampe Tundu Lisu maisha marefu na wale wote waliotaka kukatisha uhai wake awape laana hapa hapa dunianiAmeanza tena, kuna watu huwa hawabadiliki, kesho utasikia anafwatiliwa na gari au nyumba yake imevamiwa na watu wasiojulikana, huyu jamaa shida na hamu ya kuwaona Wazazi wake kwa maana Duh, ...
Hakika . Kidume kinachanja mbuga. Alla ampe Lisu afya njema na maisha marefu. huyu anasaidia sana kutetea maslahi mapana ya Zanzibar ndani ya koromeo la muungano.Lissu The Greatest
Kashaulo. Naam . Tunaumia sana mkiita Zanzibar ni koloni lenu la tanganyika lakn ukweli na taswira pana ya mfumo wa uendeshaji wa muungano huu unaonesha kuwa Zanzibar ni 100% colony la tanganyika. Mficha uchi hazai. Taswira iko hivyo badala ya kuwa na muungano unaondeshwa kwa usawa na uadilifu umegeuka kuwa zanzibar rasmi ni koloni la T/Bara. Kilichobakoi ni 'Legeslation na institutionalization process tu lkn political will ya kuifanya znz ni loloni inaonekana kwa matendo na dhamira.Katika kesi yake mbona ‘makosa’ yote sio makosa! Ni nani asiyejua kuhusu koloni letu hili, na hivi juzi si tumepeleka tena Huseni kutoka idodomya!