babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Duh
ngoja wenye nchi yao waamke tu Ubelgiji itakua Manzese tu.
ngoja wenye nchi yao waamke tu Ubelgiji itakua Manzese tu.
Tundu Lissu akipitishwa na upinzani kugombea u-Rais wa JMT haihitaji kupanda majukwani zaidi ya mikutano 5 kwenye majiji ya DSM, Mwanza, Mbeya, Arusha na Moshi.Kumbuka pia anataka kuwa rais, majukwaani itakuweje kama unatoa sababu za namna hiyo mkuu
Mbona sioni Kosa hapo? Kwani kusema ukweli ni kosa?
Utateseka sana Kama anavyoteseka magu,ni prezidii but anajiamini kwenye majukwaa tuHuyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.
Kweli wewe hujijui, soma tena ulichoandika.Utateseka sana Kama anavyoteseka magu,ni prezidii but anajiamini kwenye majukwaa tu
May be baada ya hapa ndo jamaa akaona akimbilie bunduki,mwafrica siyo mtuKuna sehemu nliona alijaribu kufafanua kabla ya kushambuliwa na Risasjli. Je, hizi hoja zake zitamsaidia?
View attachment 1523459