Jafari Haruna
JF-Expert Member
- Jun 18, 2017
- 347
- 962
Upuuzi tu
Yeah na enjoy siku yangu ya Kwanza ndani ya CCMWewe ndo ulikuwa Chadema ukaamina CCM???
We jamaa Msanii sana!
Sawasawa msanii mzushiYeah na enjoy siku yangu ya Kwanza ndani ya CCM
Si ndio maana yakatimuliwa pale uwanjani maana hayajitambuiSasa wale waliompokea na kutembea barabara za Dar kwa mwendo mrefu itakuwaje nao waende karantini na je chadema hawakujua kuwa mtu anayetoka nje ya nchi inampasa kwenda karantini au ilikuwa ni kuitega serikali. Dah hawa jamaa sometime siwaelewi kabisa
Watanyooka tu sisi ni mbele kwa mbele!Nimefuatilia kwa karibu hotuba ya Kenyatta mwanzoni mwa wiki hii na nimefuatilia pia habari ya Tanzania kutokuwepo kwenye list ya nchi zinazoruhusiwa kuingia Kenya.
Nnachoweza kusema ni kwamba, kuna chembechembe za wivu wa Kenya dhidi ya Tanzania kwenye kupambana na Corona.
Kenya waliamua kuchukua msimamo wa kidunia kipambana na Corona, lakini mpaka sasa miezi takribani mitano hakuna nafuu yoyote inayoonekana na tunasikia mpaka mashule ni mpaka mwaka kesho.
Huku Tanzania, raia tuliamua kufuata msimamo wetu wa kupambana na Corona ambao mpaka sasa imekuwa ni kama story dunia nzima kwamba imekuwaje tumeishinda Corona?
Maisha yanaendelea kama kawaida kabisa, mashule na vyuo yamefunguliwa zaidi ya mwezi mmoja uliopita na hakuna chochote kilichotokea mpaka sasa.
Watu wanaruka madebe kama kawaida mikusanyiko kama kawaida. Tuliambiwa tutakufa mabarabarani lakini hiyo dua hata haitimii.
Kwa mazingira kama hayo, jirani yako ambaye amelikoroga lazima akuonee wivu, na wanachokifanya wakenya sahiv.
Nahisi kama mda ungerudishwa nyuma, wakenya wangefanya tofauti na wanavyofanya sasa, nahisi kabisa wangeiga msimamo wa Tanzania.
Poleni sana wakenya, sijafurahishwa na matendo yenu ya kutuchokonoa na kutubagua haswa jambo mlilolifanya jana.