Kisutu: Tundu Lissu ashindwa kutokea Mahakamani, kesi zake zaahirishwa hadi 26/08/2020

Kisutu: Tundu Lissu ashindwa kutokea Mahakamani, kesi zake zaahirishwa hadi 26/08/2020

Probably it’s because your teacher too overlooked the subject entitled “Cheap is expensive”. From the experience, I have learned that anything cheap comes with a lot of outcomes I can’t tolerate.
You and cheap is akin, With due rights, do what you want to do, you have an option.

Exactly, you are right.....

Anything cheap is high price paid....

Tundu Lissu has paid for the URT Presidency very expensively with his blood & death....

So, the presidency of URT in return is very cheap this time and we all clearly see it....

Are you surprised?..... Well, you just keep waiting until you see yourself with naked eyes happening....

KARMA is a justice provider. Not every day is Thursday....
 
"Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ni ya Kibaguzi wa Kifamilia, Kikabila, Kikanda na Kidini. Vibali vya kazi Work permit vinatolewa kwa wamishenari wa Kikatoliki tu huku Madhehebu mengine yakielezwa kupanga foleni Uhamiaji. .."
Nahisi shitaka hili ndiyo linaweza kumtia hatiani kama waendesha mashitaka wakiweka nguvu na kumdai uthibitisho.
Kauli moja hatari sana kwa mtu anayejinadi anakuja kuliunganisha taifa, kuleta umoja wa kitaifa.
 
Exactly, you are right.....

Anything cheap is high price paid....

Tundu Lissu has paid for the URT Presidency very expensively with his blood & death....
So, the presidency of URT in return is very cheap this time and we all clearly see it....

Are you surprised?..... Well, you just keep waiting until you see yourself with naked eyes happening....

KARMA is a justice provider. Not every day is Thursday....
How sure are you that the reason he got shot affiliates with presidency of Tanzania? Mind you, the incident occurred when we were three years behind the election!
 
Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.

Alipotoka iyapoti akenda kuhutubia hakukimbilia kujifungia, akaomba wanachama wenzake wamsindikize msibani kesho yake. Siku ile akadanga cdm ina wanachama zaidi ya 6,700,000.
 
Mandolo na ID fake una guts za kuomba certifications za mtu humu kweli? Mind your own business brah, hukuchangia elimu yangu, huwezi ondoa haki zangu kikatiba.

Jamaa yako anataka kuomba ridhaa, challenges and critics are inevitable.

Kama ulisoma kwa mkopo wa bodi basi ujue ni kodi yake, ana haki kukudai vielelezo.
 
Hizo ndio waingereza wanaita "Trumped Up Charges".

Eti katika dunia ya sasa mtu bado anashitakiwa kwa kosa la uchochezi. Very Foolish.

Uchochezi ilikuwa ni mashitaka waliotumia wakoloni kujaribu kuzibia watu midomo wasidai uhuru na leo hii huko Uingereza kwenyewe hakuna kosa kama hilo.

Sasa leo hii unakuta nchi inayodai kuwa iko huru eti bado inakumbatia sheria za hovyo kama hizo ili kuwakomoa watu wenye mtazamo tofauti na wa mtawala.

Ndio maana hii nchi bila katiba mpya, hatutaenda. Mtawala anapoona anazidiwa hoja na wengine anakimbilia kumwamuru DPP ku-invoke hiyo sheria ya kijinga ili kuwakomoa wapinzani wake wa kisiasa.

Mataifa yanayotumia hizi sheria kandamizi dawa ni kuziwekea vikwazo tu. No way.
 
Salaam Wakuu,

0911HRS: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hajatokea Mahakamani kama ilivyotarajiwa kwenye kesi inayomkabili namba 123 ya 2017 mbele ya Hakimu Mheshimiwa Enock Matembele.

Wakili wa Utetezi Peter Kibatala, ameiambia Mahakama kwamba Tundu Lissu alikuwa mgonjwa kwa kipindi kirefu, amerudi majuzi (Jumatatu). Kutokana na hali yake, ilishauriwa apate mapumziko (isolation/karantini) aweze kuangalia afya yake, hivyo tunaomba tarehe nyingine, tunaamini siku hiyo atakuwepo.

Mawakili Upande wa Jamhuri, Wakili Mkuu Renatus Mkude na mwenzake Wakili Wankyo Simon (Wakili Mwandamizi) hawakuwa na pingamizi, hivyo kesi imeahirishwa hadi tarehe 26 August 2020.

KOSA LA KWANZA

Kwenye kesi namba 123 ya Mwaka 2017, inadaiwa tarehe 11January 2017 Tundu Lissu akiwa huko Kombeni Mjini Magharibi Zanzibar katika Kampeni za Uchaguzi huku akiww ni raia wa Tanzania Bara, aliongea maneno ya kuwaudhi Waislam, alisema;

... "Kwahiyo hicho kunachoitwa Uchaguzi wa marudio uharamia mtupu, haramu, haramu, haramu.. Kinachoitwa Uchaguzi wa marudio ni haramu tupu... Nyie ni Waislam sana naomba niseme uharamu wa Uchaguzi wa Marudio wa Mwaka jana hautofautiani na kula nguruwe, kwa wala nguruwe hawa, wala nguruwe hawa, nlikuwa nazungumzia yaliyokuja baada ya wala nguruwe hawa kufanya uharamia wao.. Laana tullah'

KOSA LA PILI

Tarehe 11 January 2017 Kombeni Mjini Magharibi Zanzibar wakati wa Kampeni za Uchaguzi alisema;

"Tangu 1964 Tanganyika ndiyo inaamua nani atawale Zanzibar".

KOSA LA TATU

Tarehe 11 January 2017 Kombeni Mjini Magharibi Zanzibar wakati wa Kampeni za Uchaguzi alisema;

"Tangu mwaka 1964 Zanzibar inakaliwa kijeshi na Tanganyika, nani anayebisha... Tangi mwaka 1995 ikifika Uchaguzi askari wa Tanganyika wanahamia Zanzibar ili kuja kihakikisha Vibaraka wao wa Zanzibar hawaondolewi Madarakani na Wananchi wa Zanzibar mnapigwa, mnateswa, mnauawa kwa sababu ya Ukoloni wa Tanganyika kwa Zanzibar...., Marehemu Karume alipoanza kishitukia mwaka 71, 72 akauawa...., itakapofika tarehe 15 mwezi wa kwanza muadhimishe mika 53 ya kukaliwa Kijeshi na Tanganyika"

KOSA LA NNE

Tarehe 11 January 2017 Kombeni Mjini Magharibi Zanzibar wakati wa Kampeni za Uchaguzi alisema;

"Jumbe aliondolewa Dodoma, Ally Hassan Mwinyi alipewa Urais Dodoma, na aliyempa ni Nyerere sio Wazanzibar.., Marais wa Zanzibar wote ni made in Tanganyika..
.., wametengenezwa Tanganyika, wanakaa madarakani kwa sababu ya Tanganyika...,

KOSA LA TANO

Tarehe 11 January 2017 Kombeni Mjini Magharibi Zanzibar wakati wa Kampeni za Uchaguzi alisema;

"Zanzibar inatawaliwa na Tanganyika kwa kivuli cha Tanzania, Tanzania ni Tanganyika..., Tanzania ni kivuli cha kuikalia Zanzibar, cha kuigeuza Zanzibar Koloni na Makoloni huwa yananyonywa, Makoloni yanatawaliwa, Kisiasa yananyonywa Kiuchumi na yanakandamizwa Kijeshi..., metawaliwa kisiasa na Tanganyika miaka yote hii.. Ali Mohammad Shein hatufai tena ataondolewa kama Aboid Jumbe alivyoondolewa.... ".

NOTE: Leo hapa Kisutu watu hawaruhusiwi kuingia isipokuwa wenye kesi na Mashahidi tu. Ulinzi ni Mkali wa Polisi kila sehemu hapa Kisutu. Hawataki mtu asogee.

=====

0925HRS: Sasa tunaingia Kesi ya Pili ya Lissu Open Court #2.

Hii Kesi ya Pili tupo kwa Hakimu Mbando.

Kesi inayo mkabili Tundu Lissu namba 236 ya mwaka 2017 ya Uchochezi imeahirishwa hadi 26 August 2020. Sababu za kutokufika zinafanana na kesi ya Kwanza.

Kwa leo kesi zake zote zimeahirishwa.

Katika kesi namba 236, inadaiwa Tarehe 17 July 2017 Maeneo ya Mtaa Ufipa Kinondoni, Tundu Lissu aliongea Maneno ya kuudhi kwamba "Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ni ya Kibaguzi wa Kifamilia, Kikabila, Kikanda na Kidini. Vibali vya kazi Work permit vinatolewa kwa wamishenari wa Kikatoliki tu huku Madhehebu mengine yakielezwa kupanga foleni Uhamiaji. Viongozi Wakuu wa Serikali wanachaguliwa kutoka kwenye Familia, Kabila na Ukanda... Acheni woga pazeni sauti.. Kila mmoja wetu.. Tukawaambie kama tulivyo waambia Serikali ya Makaburu, hii Serikali Isusiwe na Jumuiya ya Kimataifa, isusiwe Kisiasa, Kiuchumi na Kidiplomasia kwa sababu ya Utawala huu wa Kibaguzi.. yeye ni Dikteta Uchwara".

Mwisho.
Yupo ISOLATION wakati ameshaaambukiza watu siku ya kwanza alipoingia wakati wa kumpokea na kwenye mkutano kule ufipa.
 
Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.
Hivi kwanini LUMUMBA kuanzia mwenyekiti hadi nyie vistuli kimombo kinawapiga chenga sana? [emoji3]
 
Hamtoacha kuweweseka ninyi mapaka shume
Ameanza tena, kuna watu huwa hawabadiliki, kesho utasikia anafwatiliwa na gari au nyumba yake imevamiwa na watu wasiojulikana, huyu jamaa shida na hamu ya kuwaona Wazazi wake kwa maana Duh, ...
 
Nahisi shitaka hili ndiyo linaweza kumtia hatiani kama waendesha mashitaka wakijweka nguvu na kumdai uthibitisho.
Kauli moja hatari sana kwa mtu anayejinadi anakuja kuliunganisha taifa, kuleta umoja wa kitaifa.
Pumbavu kweli weee hapo kosa ni lipi?
 
Makosa yenyewe laini sana kwa Lawyer mbobezi. Sana sana yatasaidia kufichua na vilivyofichwa.
 
Kabla ya kuwa marehemu lazima upitie hatua flani Mabeberu huiita “Denial” hivyo sintashangaa utopolo wako.
Sawa mkuu, kwa hiyo mie naelekea kuwa marehemu au wewe?
Maana hiyo hatua ya "denial" wewe ndio umeionyesha!
 
% 1 ya IQ ya Lissu= sisiem wote kuanzia mwenyekiti mpaka mfagiaji wa Lumumba.

Huyu jamaa Lissu huwa namchukulia kama mtu mwenye IQ kubwa sana TZ nikitoka mimi, ilikuwa bado kidogo anikaribie
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom