Kisutu: Tundu Lissu ashindwa kutokea Mahakamani, kesi zake zaahirishwa hadi 26/08/2020

Wakati mwingin mahakam wanakuw hawana kazi za kufanya
 
Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.
Empty headed ndo huwa wanaisumbua serikali kwa manufaa ya wananchi, lakin ninyi mlionazo hamna ni useless bogus
 
Empty headed ndo huwa wanaisumbua serikali kwa manufaa ya wananchi, lakin ninyi mlionazo hamna ni useless bogus
Embu niambie ni manufaa yapi yaliyoletwa na Chadema nchi hii!
 
Mmempiga risasi,sasa hivi ni kilema halafu mnataka awahi mapema hii yote,nye ni green and yellow devils
Kumbuka pia anataka kuwa rais, majukwaani itakuweje kama unatoa sababu za namna hiyo mkuu
 
% 1 ya IQ ya Lissu= sisiem wote kuanzia mwenyekiti mpaka mfagiaji wa Lumumba.

Huyu jamaa Lissu huwa namchukulia kama mtu mwenye IQ kubwa sana TZ nikitoka mimi, ilikuwa bado kidogo anikaribie
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa
 
Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.
Mkuu nadhani kilicho kuchanganya hapo ni neno Isolation, kama sikosei hilo neno umelijua baada ya kuja corona so unafikiri limekuja hiki kipindi cha corona. Matanga mnatia aibu kwa kweli.
 
Huyu huyu aliyekuwa anasema kazuiwa kwenda msibani leo excuse ni isolation! I ama a kwenda kuaga mwili angewakilishwa na ghost wake? tukiwaambia jamaa ni empty headed mtabisha. I hate people who cares the most about cheap publicity.

Ww huelewi kabisa mambo ya mahakama una ushahidi kama alitaka kwenda kuuaga mwili? Kama upo vipi usiupeleke mahakamani? Subiri sheria ifuate mkondo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…