Kiswahili: Matumizi ya Herufi “L” na “R”

Waswahili wengi hatupendi kujifunza,.tukikosolewa utasikia "huyu naeee anajishauaa utadhani babake oni sigalla"(nimemtaja tuu oni sigalla😊).

Mtu unamwambia sio lahareo ni rahaleo anakuona mjuvi ndio kwanza atakujibu kwani "razima" uniambie..alaah!!!! Tunasahau kwamba pamoja na kiswahili kuwa ndio lugha mama yetu lakini lazima tujifunze,ndio maana hata mashuleni kuna somo la kiswahili..
 

Kushindwa kutofautisha marumizi ya umoja na wingi wa wimbo/nyimbo ni janga.., mfano mzuri ni Diamond wimbo mmoja anasema NYIMBO YANGU!!
 
Hahahahahahahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi wa boma mwenyewe anasema "hawa ni lafiki zangu, waachwe wasiguswe"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…