Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Suala lolote likiwa supported na ushahidi mwingine basi suala hilo ni kweli.Mambo ya source: trust me bro. Kila mtu ana jamaa zake idara nyeti hii nchi, matter of fact kila mtu ni usalama hadi vichaa.
Kuna siku nilimuona mama janeth amenenepa kweli nilishangaaJiwe alikuwa katili hadi kwa familia nzima,ushahidi ni jinsi mama alivyonawiri baada ya jiwe kukata moto. Kuishi na lile jinamizi under one roof ni kipengele sana.
Alikata mrija gani. Kabendera years and years ni mwandishi wa vyombo vya habari vya kimataifa. Sasa Magu alikata mrija gani kwake?shida ya magu alikata mrija wa utamu kwa bwana kabendera sasa hasira anamalizia kuandika utoto utoto tu
niliambiwa, nilisikia, walio mwona sasa magu alikosa kazi hadi hili atekeleze yeye kwa mkono wake
Kuepukana na lile jinamizi ilikuwa ukombozi mkubwa kwa Janet.Kuna siku nilimuona mama janeth amenenepa kweli nilishangaa
Suala lolote likiwa supported na ushahidi mwingine basi suala hilo ni kweli.
Ukweli nso huo JPM alimuua Ben Saanane kwa mikono yake mwenyewe.
Cha zaidi source yangu ilisema alipelekwa ikulu na vijana wa Makonda. Hapo ndo Kabendera hajasema
Basi kila mtu ashinde mechi zake.Kuna source yangu hapa Ipo idara nyeti inasema habari yako ya uongo. Sijui source gani inasema ukweli hapa. Trust me Bro.
Wewe hauna akili kabisa sio kila tukio linatakiwa kuandikwa katika kitabu kizima. Tukio la Ben Saanane lina ukweli na mhusika mkubwa na Magufuli. Kwanini usiwasiliane na mwandishi nguli ambaye inasemekana ndio alimchoma Kabendera kwa Kichaa Magu.Kabendera kapitia changamoto nyingi sana. Kukamatwa kwake, kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.
Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.
Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana, kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.
Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika habari kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa, kasikia kijiweni then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.
Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki, angeandika vizuri sana bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.
Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.
Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.
Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.
hujui kama alikuwa anapewa posho na wazungu mkuu ama hulijui hiloAlikata mrija gani. Kabendera years and years ni mwandishi wa vyombo vya habari vya kimataifa. Sasa Magu alikata mrija gani kwake?
You need to quote the law that prohibits one from receiving funds from abroad.........Nilifuatilia mashitaka yaliyokuwa yanamkabili Erick Kabendera na moja ya mashitaka, lilikuuwa ni "kujustify (kuweka sawa kuwa ni halali) kwa kiwango cha hela alichokuwa anawekewa kwenye account yake ya benki na baada ya hapo kuna msululu wa watu alikuwa anawalipa. Alifanya kazi hiyo mfululizo zaidi ya miaka mitatu! Huyu bwana serikali mwisho wa siku ilijua chanzo cha hiyo miamala mikubwa aliyokuwa anawekewa kutoka nje ya nchi. Kwahiyo kwa kushtakiwa kwa kosa la kuhujumu uchumi serikali ilikuwa sawa! Kabendera ni mwandishi wa habari wa kujitegemea! Hii ilimpa mwanya kwa mabeberu wa kimataifa kumtumia na ndo kilichomponza! Magufuli akiwa kama mkuu wa nchi ambaye alihapishwa kwa mujibu wa katiba ya nchi, ulikuwa ni wajibu wake kuwashughulikiwa watu wanaopokea malipo ya kigeni na kushindwa kutetea malipo hayo. Hili jambo la Kabendera liliwakumba watu wengi. Benki nyingi zilikuwa na accounts zenye ukwasi mwingi kiasi kwamba ukimuuliza mmiliki wa hiyo account atoe maelezo chanzo cha hayo mapato anashindwa. Kama kiongozi aliyeaminiwa na wananchi kulinda nchi na watu wake ni lazima watu kama Erick Kabendera washughuliwe! La sivyo huwe na uhakika taifa linaweza kuwa na magenge yenye ukwasi mwingi kupelekea kuhatarisha usalama wa taifa! Kabendera asidhani ana akili kuliko serikali!
The issue here is not the amount you receive but the source of those funds...You need to quote the law that prohibits one from receiving funds from abroad.........
Uelewi lolote kuhusu usalama wa nchi. Ntakupa mfano wa makundi ya kigaidi yanayodhaminiwa na Iran!You need to quote the law that prohibits one from receiving funds from abroad.........
Ni mwepesi sana kuwa state enemy, hana impact yoyoteNilifuatilia mashitaka yaliyokuwa yanamkabili Erick Kabendera na moja ya mashitaka, lilikuuwa ni "kujustify (kuweka sawa kuwa ni halali)" kwa kiwango cha hela alichokuwa anawekewa kwenye account yake ya benki na baada ya hapo kuna msululu wa watu alikuwa anawalipa.
Alifanya kazi hiyo mfululizo zaidi ya miaka mitatu! Huyu bwana serikali mwisho wa siku ilijua chanzo cha hiyo miamala mikubwa aliyokuwa anawekewa kutoka nje ya nchi. Kwahiyo kwa kushtakiwa kwa kosa la kuhujumu uchumi serikali ilikuwa sawa!
Kabendera ni mwandishi wa habari wa kujitegemea! Hii ilimpa mwanya kwa mabeberu wa kimataifa kumtumia na ndo kilichomponza! Magufuli akiwa kama mkuu wa nchi ambaye alihapishwa kwa mujibu wa katiba ya nchi, ulikuwa ni wajibu wake kuwashughulikiwa watu wanaopokea malipo ya kigeni na kushindwa kutetea malipo hayo.
Hili jambo la Kabendera liliwakumba watu wengi. Benki nyingi zilikuwa na accounts zenye ukwasi mwingi kiasi kwamba ukimuuliza mmiliki wa hiyo account atoe maelezo chanzo cha hayo mapato anashindwa. Kama kiongozi aliyeaminiwa na wananchi kulinda nchi na watu wake ni lazima watu kama Erick Kabendera washughuliwe!
La sivyo huwe na uhakika taifa linaweza kuwa na magenge yenye ukwasi mwingi kupelekea kuhatarisha usalama wa taifa!
Kabendera asidhani ana akili kuliko serikali!
MBONA MAELEZO YAKO WAZI?..You need to quote the law that prohibits one from receiving funds from abroad.........
Alinyanganya mara ngapi?Yule mwendawazimu alikuwa na uwezo wa kunyang'anya hata bastola ya maafisa usalama wake na kuitumia kuua. Yule alikuwa kichaa kweli kweli.
Posho za nini?hujui kama alikuwa anapewa posho na wazungu mkuu ama hulijui hilo
kwani kesi zake zilihusu nini kama wakumbuka
Tena wanatumia nguvu kubwa kweli ila sasa mwenye macho haambiwi ona mambo ya yule bwana ni ngumu sana kumsafisha..Hao wanaomkosoa mleta mada hapa ndani ni TISS wenyewe.
Kwa mtanzania ambae ana akili sawasawa hakuna anayekubaliana na vitendo haram alivyofanya bwana jiwe
We nae wazungu ambao budget ya nchi ya magu waliidhamini kwa zaidi ya nusu kwa kipindi chote cha miaka 6 waweke battle na magufuli kweli unajielewa lakini?Wazungu mabepari hawakumpenda Magufuli kwa sababu ya sera zake za kusimamia mali za Nchi !
Na walipoona almost Afrika yote Wananchi wanamsifu Magufuli wakajua huyu atawajanjarusha waliolala !
Kwahiyo ukiona kwa sasa mapuppets ni wengi wanaojaribu kuharibu Legacy ya mwamba usishangae !
Ila Afrika kunaanza kupambazuka tena akina Magufuli watatokeza sana Nchi mbali mbali humu Barani !
Ukimsikiliza Ibrahim Traore utaona fikra zake ni zile zile za Magufuliism π³ π