Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Mambo ya source: trust me bro. Kila mtu ana jamaa zake idara nyeti hii nchi, matter of fact kila mtu ni usalama hadi vichaa.
Suala lolote likiwa supported na ushahidi mwingine basi suala hilo ni kweli.

Ukweli nso huo JPM alimuua Ben Saanane kwa mikono yake mwenyewe.

Cha zaidi source yangu ilisema alipelekwa ikulu na vijana wa Makonda. Hapo ndo Kabendera hajasema
 
shida ya magu alikata mrija wa utamu kwa bwana kabendera sasa hasira anamalizia kuandika utoto utoto tu
niliambiwa, nilisikia, walio mwona sasa magu alikosa kazi hadi hili atekeleze yeye kwa mkono wake
Alikata mrija gani. Kabendera years and years ni mwandishi wa vyombo vya habari vya kimataifa. Sasa Magu alikata mrija gani kwake?
 
Suala lolote likiwa supported na ushahidi mwingine basi suala hilo ni kweli.

Ukweli nso huo JPM alimuua Ben Saanane kwa mikono yake mwenyewe.

Cha zaidi source yangu ilisema alipelekwa ikulu na vijana wa Makonda. Hapo ndo Kabendera hajasema

Kuna source yangu hapa Ipo idara nyeti inasema habari yako ya uongo. Sijui source gani inasema ukweli hapa. Trust me Bro.
 
Kuna source yangu hapa Ipo idara nyeti inasema habari yako ya uongo. Sijui source gani inasema ukweli hapa. Trust me Bro.
Basi kila mtu ashinde mechi zake.

Mimi source yangu iliambia hayo mwaka 2020 suala ambalo limekuja kuthibitishwa na Kitabu cha Kabendera kilichotoka hivi karibuni.

Wewe source yako inasema uongo leo baada ya Kabendera ku confirm taarifa za source yangu after 5 years.

Kama unaakili utaelewa mwenyewe kama umepewa taarifa za uongo au za kweli
 
Kabendera kapitia changamoto nyingi sana. Kukamatwa kwake, kukaa ndani na mateso kadhaa. Mpaka kufiwa na mama yake.

Kama binadamu lazima uelewe yupo katika hali gani anapotajiwa jina la Magufuli. Hawezi mpenda na hata wewe usingeweza mpenda.

Nimesoma kile kifungu anachosema Ben Saanane aliuawa na Magufuli mwenyewe kwa kupigwa risasi ya kichwa. Kaandika kiwepesi sana, kirahisi sana. Ile issue yenyewe tu ilipaswa kuandikiwa kitabu kizima.

Kwa maelezo yake yale hamna kitu kabisa. Yaani kaandika habari kubwa kama hiyo kama vile kaambiwa, kasikia kijiweni then yeye kaiweka kwenye kitabu. Hapo ni wazi Kabendera aither Elimu yake ni ya mgogoro au aliendeshwa sana na hisia.

Kile kitabu alipaswa aandike bila chuki, angeandika vizuri sana bila mihemko. Hisia si jambo baya ikiwa zinakuwa controlled na mtu ambaye atakuwa unbiased. Kabendera kaandika nadhani alipaswa awapatie watu wenye akili wapitie na wamshauri. Tukio la Rais kumpiga mtu risasi linahitaji maelezo mengi sana ya kitaalamu/kisheria ili kuleta uhalisia wenyewe. Na hii haiwi nimeambiwa.

Huwezi andika kitabu kama hicho bila uchunguzi wa kina bila kuchimba zaidi na zaidi kupata ukweli.

Nadhani Kabendera ashauriwe mapema kabla hajaki print aelekezwe aandike vipi hilo jambo zito. Si kwa maneno mepesi vile kama vile si kitu kikubwa.

Then mambo mengine yaendelee uhalisia wake ubainishwe.
Wewe hauna akili kabisa sio kila tukio linatakiwa kuandikwa katika kitabu kizima. Tukio la Ben Saanane lina ukweli na mhusika mkubwa na Magufuli. Kwanini usiwasiliane na mwandishi nguli ambaye inasemekana ndio alimchoma Kabendera kwa Kichaa Magu.
 
Alikata mrija gani. Kabendera years and years ni mwandishi wa vyombo vya habari vya kimataifa. Sasa Magu alikata mrija gani kwake?
hujui kama alikuwa anapewa posho na wazungu mkuu ama hulijui hilo

kwani kesi zake zilihusu nini kama wakumbuka
 
Nilifuatilia mashitaka yaliyokuwa yanamkabili Erick Kabendera na moja ya mashitaka, lilikuuwa ni "kujustify (kuweka sawa kuwa ni halali)" kwa kiwango cha hela alichokuwa anawekewa kwenye account yake ya benki na baada ya hapo kuna msululu wa watu alikuwa anawalipa.
Alifanya kazi hiyo mfululizo zaidi ya miaka mitatu! Huyu bwana serikali mwisho wa siku ilijua chanzo cha hiyo miamala mikubwa aliyokuwa anawekewa kutoka nje ya nchi. Kwahiyo kwa kushtakiwa kwa kosa la kuhujumu uchumi serikali ilikuwa sawa!

Kabendera ni mwandishi wa habari wa kujitegemea! Hii ilimpa mwanya kwa mabeberu wa kimataifa kumtumia na ndo kilichomponza! Magufuli akiwa kama mkuu wa nchi ambaye alihapishwa kwa mujibu wa katiba ya nchi, ulikuwa ni wajibu wake kuwashughulikiwa watu wanaopokea malipo ya kigeni na kushindwa kutetea malipo hayo.

Pia soma: Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Hili jambo la Kabendera liliwakumba watu wengi. Benki nyingi zilikuwa na accounts zenye ukwasi mwingi kiasi kwamba ukimuuliza mmiliki wa hiyo account atoe maelezo chanzo cha hayo mapato anashindwa. Kama kiongozi aliyeaminiwa na wananchi kulinda nchi na watu wake ni lazima watu kama Erick Kabendera washughuliwe!

La sivyo huwe na uhakika taifa linaweza kuwa na magenge yenye ukwasi mwingi kupelekea kuhatarisha usalama wa taifa!

Kabendera asidhani ana akili kuliko serikali!
 
Nilifuatilia mashitaka yaliyokuwa yanamkabili Erick Kabendera na moja ya mashitaka, lilikuuwa ni "kujustify (kuweka sawa kuwa ni halali) kwa kiwango cha hela alichokuwa anawekewa kwenye account yake ya benki na baada ya hapo kuna msululu wa watu alikuwa anawalipa. Alifanya kazi hiyo mfululizo zaidi ya miaka mitatu! Huyu bwana serikali mwisho wa siku ilijua chanzo cha hiyo miamala mikubwa aliyokuwa anawekewa kutoka nje ya nchi. Kwahiyo kwa kushtakiwa kwa kosa la kuhujumu uchumi serikali ilikuwa sawa! Kabendera ni mwandishi wa habari wa kujitegemea! Hii ilimpa mwanya kwa mabeberu wa kimataifa kumtumia na ndo kilichomponza! Magufuli akiwa kama mkuu wa nchi ambaye alihapishwa kwa mujibu wa katiba ya nchi, ulikuwa ni wajibu wake kuwashughulikiwa watu wanaopokea malipo ya kigeni na kushindwa kutetea malipo hayo. Hili jambo la Kabendera liliwakumba watu wengi. Benki nyingi zilikuwa na accounts zenye ukwasi mwingi kiasi kwamba ukimuuliza mmiliki wa hiyo account atoe maelezo chanzo cha hayo mapato anashindwa. Kama kiongozi aliyeaminiwa na wananchi kulinda nchi na watu wake ni lazima watu kama Erick Kabendera washughuliwe! La sivyo huwe na uhakika taifa linaweza kuwa na magenge yenye ukwasi mwingi kupelekea kuhatarisha usalama wa taifa! Kabendera asidhani ana akili kuliko serikali!
You need to quote the law that prohibits one from receiving funds from abroad.........
 
Nilifuatilia mashitaka yaliyokuwa yanamkabili Erick Kabendera na moja ya mashitaka, lilikuuwa ni "kujustify (kuweka sawa kuwa ni halali)" kwa kiwango cha hela alichokuwa anawekewa kwenye account yake ya benki na baada ya hapo kuna msululu wa watu alikuwa anawalipa.

Alifanya kazi hiyo mfululizo zaidi ya miaka mitatu! Huyu bwana serikali mwisho wa siku ilijua chanzo cha hiyo miamala mikubwa aliyokuwa anawekewa kutoka nje ya nchi. Kwahiyo kwa kushtakiwa kwa kosa la kuhujumu uchumi serikali ilikuwa sawa!

Kabendera ni mwandishi wa habari wa kujitegemea! Hii ilimpa mwanya kwa mabeberu wa kimataifa kumtumia na ndo kilichomponza! Magufuli akiwa kama mkuu wa nchi ambaye alihapishwa kwa mujibu wa katiba ya nchi, ulikuwa ni wajibu wake kuwashughulikiwa watu wanaopokea malipo ya kigeni na kushindwa kutetea malipo hayo.

Hili jambo la Kabendera liliwakumba watu wengi. Benki nyingi zilikuwa na accounts zenye ukwasi mwingi kiasi kwamba ukimuuliza mmiliki wa hiyo account atoe maelezo chanzo cha hayo mapato anashindwa. Kama kiongozi aliyeaminiwa na wananchi kulinda nchi na watu wake ni lazima watu kama Erick Kabendera washughuliwe!

La sivyo huwe na uhakika taifa linaweza kuwa na magenge yenye ukwasi mwingi kupelekea kuhatarisha usalama wa taifa!

Kabendera asidhani ana akili kuliko serikali!
Ni mwepesi sana kuwa state enemy, hana impact yoyote

Kuwa labeled state enemy kuna mambo mazito utakuwa ume commit against state
 
Wazungu mabepari hawakumpenda Magufuli kwa sababu ya sera zake za kusimamia mali za Nchi !
Na walipoona almost Afrika yote Wananchi wanamsifu Magufuli wakajua huyu atawajanjarusha waliolala !

Kwahiyo ukiona kwa sasa mapuppets ni wengi wanaojaribu kuharibu Legacy ya mwamba usishangae !

Ila Afrika kunaanza kupambazuka tena akina Magufuli watatokeza sana Nchi mbali mbali humu Barani !

Ukimsikiliza Ibrahim Traore utaona fikra zake ni zile zile za Magufuliism 😳 🙏
 
Hao wanaomkosoa mleta mada hapa ndani ni TISS wenyewe.
Kwa mtanzania ambae ana akili sawasawa hakuna anayekubaliana na vitendo haram alivyofanya bwana jiwe
Tena wanatumia nguvu kubwa kweli ila sasa mwenye macho haambiwi ona mambo ya yule bwana ni ngumu sana kumsafisha..
 
Wazungu mabepari hawakumpenda Magufuli kwa sababu ya sera zake za kusimamia mali za Nchi !
Na walipoona almost Afrika yote Wananchi wanamsifu Magufuli wakajua huyu atawajanjarusha waliolala !

Kwahiyo ukiona kwa sasa mapuppets ni wengi wanaojaribu kuharibu Legacy ya mwamba usishangae !

Ila Afrika kunaanza kupambazuka tena akina Magufuli watatokeza sana Nchi mbali mbali humu Barani !

Ukimsikiliza Ibrahim Traore utaona fikra zake ni zile zile za Magufuliism 😳 🙏
We nae wazungu ambao budget ya nchi ya magu waliidhamini kwa zaidi ya nusu kwa kipindi chote cha miaka 6 waweke battle na magufuli kweli unajielewa lakini?
 
Back
Top Bottom