Kitabu cha Erick Kabendera: Ni vema atoe ushahidi wa tuhuma alizochapisha kuhusu Magufuli kuhusika kifo cha Ben Saanane

Kaandika upuuzi sana. Hivi kweli rais amuite mtu ikulu halafu ampigie Risasi na kumuua hata kama alikua anataka kumuua Rais ana vyombo vingi hizi Tuhuma ni nzito lazima azithibitishe. Nitashangaa sana kama serikali italifumbia macho suala hili
Akithibitisha what next
 
Pamoja na kwamba simkubali JPM lakini siamini kama anaweza kumpiga risasi mtu isipokuwa kutuma polisi wale wavuta bangi wafanye hilo tukio
Huwezi kuamini wala kujua kwa sababu siku zote

"SHETANI HUJIGEUZA KUWA KAMA MALAIKA WA NURU" ili asitambulikane kirahisi..

Kumbuka kuwa Erick Kabendera ni Mwandishi wa habari za kiuchunguzi. Amechunguza, akapata uhakika na kawaonjesha hiyo fact kwenye maandishi yake..

By the way, kwa hulka na tabia ya John P. Magufuli akitokea mtu kudai kuwa ameua watu kwa mkono wake mwenyewe ni ngumu sana kubisha...

Mtazame na msikilize kupitia link hii akifafanua yote haya

View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=8KYjd6vEdrRe5snx
NB: Hivi vichwa vinavyoachaga minywele na midevu kwa staili hii, ni mijitu yenye akili na ufahamu wa hali ya juu sana. Namkumbuka mwanafasihi maarufu sana Ngugi Wa Thiong'o, mwanaharakati Jonas Savimbi na wengine wengi...

They always don't look smart physically but mentally 👍🏻👍🏻👍🏻
 
Kabla ya hapo apimwe akili kwanza.. kwa mtu mwenye akili timamu hawezi andika kitabu kilicho jaa udaku wa facebook
E
 
Mk
Uk
Inasikitisha Sana kumuongelea marehemu ambaye hawezi kujitetea
Amehusidha pia Rais aliye madarakani kama shahidi wa kupigwa kwa mama janet
 
Kuna wengine huwa wanavuta bangi
 
Kitabu umekisoma?
 
Waongee yaliyo ya kweli siyo uzushi. Magufuli amwite ikulu halafu ampige Risasi unaamini hilo?
Vyeti feki huwezi kubishana nao, wana hasira sana na mwendazake kisa alikata mirija yao ya ulaji

Pata picha mtu kakaa kazini miaka 10+kashakula vya kutosha na kupanda vyeo kesho umuondoe kisa cheti feki lazima alaani milele
 
Mk

Uk

Amehusidha pia Rais aliye madarakani kama shahidi wa kupigwa kwa mama janet
Huyu mama (mwalimu wangu) kichapo alikuwa anakipata kwelikweli..

Kiukweli, huyu jamaa alikuwa mbabe na katili kuanzia ktk familia na kubwa zaidi ktk uongozi wake wa taifa...
 
Wewe hauna akili kabisa sio kila tukio linatakiwa kuandikwa katika kitabu kizima. Tukio la Ben Saanane lina ukweli na mhusika mkubwa na Magufuli. Kwanini usiwasiliane na mwandishi nguli ambaye inasemekana ndio alimchoma Kabendera kwa Kichaa Magu.
Nasubiria uandike kuonesha una akili hata kidogo naona umenyamaza tu. Angalau....
 
Kuna kitabu kinaitwa "INSIDE THE VATICAN",Umekisoma?
 
The media is full of dirt trick always!
Hili nalo litapita kama mengine, Ila punguzeni chuki kwa hayati Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
Na Mungu wa mbinguni atawabariki siku zote za uhai wenu.
 
Idi Amin Dada hakumuua Askofu janan Luwum, Archbishop of the church of Uganda February 16,1977 kwa mkono wake baada ya ku-lose temper. Madikteta wote wanafanana kitabia. Magufuli alishindwa nini kumuua mtu? Ghaddafi hakuwa anaua watu kwa mkono wake? acheni kudanganywa ninyi. Madikteta wanazo tabia zinazofanana.
 
........muda utaongea yoote usiwe papara...anajua nini cha kufanya ...tusubiriii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…