Huwezi kuamini wala kujua kwa sababu siku zote
"SHETANI HUJIGEUZA KUWA KAMA MALAIKA WA NURU" ili asitambulikane kirahisi..
Kumbuka kuwa Erick Kabendera ni Mwandishi wa habari za kiuchunguzi. Amechunguza, akapata uhakika na kawaonjesha hiyo fact kwenye maandishi yake..
By the way, kwa hulka na tabia ya John P. Magufuli akitokea mtu kudai kuwa ameua watu kwa mkono wake mwenyewe ni ngumu sana kubisha...
Mtazame na msikilize kupitia link hii akifafanua yote haya
View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=8KYjd6vEdrRe5snx
NB: Hivi vichwa vinavyoachaga minywele na midevu kwa staili hii, ni mijitu yenye akili na ufahamu wa hali ya juu sana. Namkumbuka mwanafasihi maarufu sana Ngugi Wa Thiong'o, mwanaharakati Jonas Savimbi na wengine wengi...
They always don't look smart physically but mentally 👍🏻👍🏻👍🏻