Kitabu kipya cha Eric Kabendera: In The Name of The President; Memoirs of a Jailed Journalist

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310

Kwa Jina la Rais: Kumbukumbu za Mwandishi wa Habari Aliyefungwa

Ni simulizi la Erick Kabendera kuhusu uzoefu wake chini ya utawala wa Rais John Magufuli wa Tanzania. Kitabu hiki kinaelezea jinsi uandishi wake wa uchunguzi ulivyomsababisha kukamatwa kwa madai ya utakatishaji fedha na ukwepaji kodi.

Anaelezea jinsi alivyotekwa nyara, kufungwa, na hali ya kisiasa iliyojaa ukiukwaji wa haki za binadamu na kukandamiza sauti za upinzani. Kitabu hiki ni onyo kuhusu udhaifu wa demokrasia na hatari wanazokumbana nazo wale wanaopinga utawala wa kiimla.

Kitabu kinatarajiwa kuchapishwa tarehe 3 Februari 2025.
 
Na hiyo bastola kwenye picha ndiyo aliitumia kum shoot Ben Saanane. Na kisha maiti yake ikatupwa mto Rufiji ili awe chakula cha mamba.

Magufuli alikuwa katili sana
 
Kwanza familia ya Magufuli ikiamua inaweza mfungulia kesi ya madai kwa kutumia picha yake kuuza kitabu bila ya ridhaa yao.

Uwezi kuokota tu picha ya mtu for commercial exploitation bila ya ridhaa yao,
Wewe popoma muabudu Magufuli unapoteza muda na alinacha zako.

Kwenye uhai wa Magufuli hata familia yake ilikuwa inateseka. Na alipokufa familia ilifurahi sana. Hivi unajuwa kuwa Magufuli alibaka binti yake mwaka 2012 na binti aka commit suicide? Hivi unajuwa Mama Janet Magufuli aliwahi kubeba kwa kwa kichwa mchanga kutoka sehemu ambayo Lori lime mwaka kwa makosa kwenda sehemu aliyotaka Magufuli pale Ada Estate?

Au nikuwekee picha ya mama Janet uone alivyonawiri sasa?? Tofauti na kipindi cha DIKTETA
 
Mbona unajua mengi sana kumbe wewe ndio mke mdogo wa marehemu!
 
Aaargh

Wenzako waliokuwa wanamchukia sasa hivi wanatajirika balaa, hawana shughuli nae tena

Kama chuki zako hazina uhusiano na deal, sijui usaidiwe vipi.

Halafu mama aliingia na bahati ya kumwagiwa mihela na wazungu. Uoni deni la taifa lilivyokuwa.

Wenzako matajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…