Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #81
Wakifanya choo chao kama bafu kao ni hako yao.
Hawajafanya choo chako bafu lao.
Tatizo lako nini?
Unataka kuwapangia maisha?
Yote hayo yanatokea kwa sababu wazazi pia nao ni wachoyo, kuna siku nilikuwa kwa jamaa yangu mwanaevwa miaka mitatu alikua anakula ghafla akaja mtoto wa jiran huwa wanacheza pamoja, baba yake akamwambia zaidi ya ma 5 kula na rafiki yako, mtoto aligoma na kuanza kulia akanyanyuka akabeba sahan ya chakula ahame pale. Baba yake akamnyang'anya akampa yule mtoto mwingine aendelee kula, huyu wake aliendelea kushusha kilio kikali sana mpaka mama yake akaja.Wazazi wa siku hawawafundishi watoto wao ukarimu
Zamani ilikuwa ni desturi kusikia mzazi akimwambia mtoto wake mdogo anayekula kitu fulani kama andazi au biskuti n.k haya mpe na mwenzio mtoto anampa.
Ilikuwa hivyo hata kama ulienda kama mgeni mzazi atamwambia mpe uncle, bamdogo, aunt n.k na mtoto akifaulu wote wanampongeza na kumsifu wewe sio mchoyo mtoto mzuri
Mitoto ya siku hizi inalelewa kiuchoyo sana. Usishangae ndio maana ubinafsi umejaa kwenye jamii ya leo
Yote hayo yanatokea kwa sababu wazazi pia nao ni wachoyo, kuna siku nilikuwa kwa jamaa yangu mwanaevwa miaka mitatu alikua anakula ghafla akaja mtoto wa jiran huwa wanacheza pamoja, baba yake akamwambia zaidi ya ma 5 kula na rafiki yako, mtoto aligoma na kuanza kulia akanyanyuka akabeba sahan ya chakula ahame pale. Baba yake akamnyang'anya akampa yule mtoto mwingine aendelee kula, huyu wake aliendelea kushusha kilio kikali sana mpaka mama yake akaja.
Kwani ndgu zako wachina huwa wana utaratibu gani? Labda tuige huko
Sahihi kabisa mkuu, na huyo dogo mama yake ndio anacho hiko kitabia ila baba yake anamnyoosha vizuri.Huyu baba amemfundisha kitu huyo dogo, miaka mingi baadaye huyo mtoto akikua atakuja kumuelewa baba yake.
Ni hakika msingi wa ukarimu huwa unaanza kwa wazazi ni vigumu sana mtoto kuwa mkarimu kama alilelewa kwenye familia ya wazazi wachoyo
Hasa mama mchoyo ana influence kubwa kwa wana na mabinti zake wakija kuwa watu wazima wawe wachoyo
Matumizi anapanga mwenye kitu chake.Kila kitu kipo kwa matumizi yake hususa, kuogea chooni ni matumizi yasiyofaa ya choo
Ni kweli mkuu,Yote hayo yanatokea kwa sababu wazazi pia nao ni wachoyo, kuna siku nilikuwa kwa jamaa yangu mwanaevwa miaka mitatu alikua anakula ghafla akaja mtoto wa jiran huwa wanacheza pamoja, baba yake akamwambia zaidi ya ma 5 kula na rafiki yako, mtoto aligoma na kuanza kulia akanyanyuka akabeba sahan ya chakula ahame pale. Baba yake akamnyang'anya akampa yule mtoto mwingine aendelee kula, huyu wake aliendelea kushusha kilio kikali sana mpaka mama yake akaja.
Sahihi kabisa mkuu, na huyo dogo mama yake ndio anacho hiko kitabia ila baba yake anamnyoosha vizuri.
Nakumbuka kipindi cha utotoni huko kijijini kwetu kidogo kulikuwa n sehem pendwa sana ya watoto kucheza na mpaka leo hii watoto hawakauki, wakija wakati wa kula tulikuwa tunakula nao bila upendeleo au kubaguana, mama hakuwa na uwezo kihivyo ila alikuwa anasema usimnyime mtu chakula, hili neno nimekua nalo.
Inasikitisha sana kuona vyumba muhimu kama hivyo vinatumika vibaya na baadhi ya Watanzania, mimi nadhani wengi wanaofanya hivyo hawana elimu ya kutosha kuhusu hivyo vyumba
Na hususani wanaofanya hivi ni hizi familia za uswahiliUmesema vyema na huu ndio ukweli usiopingika
sahihi kabisa, hata wadogo zako wadogo Ina pendeza Sana.Naam,
Nimekuja kugundua hata Kula pamoja na mkeo sahani moja inasaidia saana kuimarisha penzi na ukaribu.
Salam mkuu,Nimekuwa mwalimu kwa mwaka mmoja, nimefundisha somo la computer .
Wanafunzi wangu walinipenda sana kwa kuwa nilikuwa mtu poa na muelewa sana.
Thibitisha kwamba: Wanafunzi walikupenda sana.Wanafunzi wangu walinipenda sana
kwa kuwa nilikuwa mtu poa na muelewa sana.
Kabisa inaongeza na uchoyoHiyo yakulia dinning kila MTU na sahani yake ni tumeiga tuu,
Ndio maana kuishi kinamna hiyo inakuwa ngumu,
Sisi kule kijjn watoto wote tulikuwa tunakula pamoja kwenye chombo kimoja yaani Sinia. Hii ilitusaidia kujenga umoja Kama ndugu...
Siku hizi Kula pamoja ni adventure... Kisinia shishi food
Siku hizi kila MTU na sahani yake anakula Kwa muda wake, usipokuwa makini unakuta watoto hawana hata table manners,
Sijabadilika lolote, wewe tu ndiye hujanielewa.Salam mkuu,
nini sasa kilicho kubadilisha?, yaani ume kuwa professional wa foot on the garrison bila huruma!
I am not here to seek your approval.Thibitisha kwamba: Wanafunzi walikupenda sana.
Thibitisha kama kweli ulikuwa mtu poa na muelewa Sana.
=====
Usipothibitisha hizo ni porojo Tu.
Basi acha kutuaminisha uongo.I am not here to seek your approval.
Especially on a proof that would ultimately expose my identity in a way I do not want.
Nimejibu swali.
Una haki na uhuru kuona porojo.
Sijali.