Safi mkuuNawashukuru sana wazazi wangu kwa kuhakikisha muda wa kula tunakuwa wote mezani. Muda wa kula huwezi kuta kila mtu kakaa kivyake. Kuhusu jiko la nje ni kweli tumekuwa tukitumia kwa sababu ya matumizi ya mkaa na kuni.
Kula pamoja katika kisinia ni uchafu wa kulishana mate tu, sawa na wale watu wanaokunywa pombe kutoka chungu kimoja kwa mirija.Hiyo yakulia dinning kila MTU na sahani yake ni tumeiga tuu,
Ndio maana kuishi kinamna hiyo inakuwa ngumu,
Sisi kule kijjn watoto wote tulikuwa tunakula pamoja kwenye chombo kimoja yaani Sinia. Hii ilitusaidia kujenga umoja Kama ndugu...
Siku hizi Kula pamoja ni adventure... Kisinia shishi food
Siku hizi kila MTU na sahani yake anakula Kwa muda wake, usipokuwa makini unakuta watoto hawana hata table manners,
Wachina wana table manners?Una hoja mkuu
Na inatakiwa hasa sisi akina baba angalau mlo wa usiku tule na watoto wetu ni nafasi ya kuwafundisha table manners na hata kupiga nao stori mbili tatu za maisha, masomo na ushauri
Kula kwenye mikeka ni ustaarabu wa Waarabu, watu wa pwani wameiga kutoka uarabuni.Kula kwenye mkeka huku tumeizunguka sinia. Na story za hapa na pale huku wazee wazee wakitupa mawaidha na moto ukiwa unachochewa pembeni.
Choo kufanywa bafu ni jambo zuri kwa mazingira kwa sababu inasaidia kudhibiti matumizi ya maji.Ushamba ni sawa na wale wanaofanya choo kama bafu. Kila kitu kipo kwa matumizi yake hususa
Choo cha kukaa cha umma ni majanga.Usisahau kugusia;
- Kitchan store - wengi huitumia kuhifadhia vyombo, majembe, mifagio na makorokoro mengine
- Choo cha maji cha ndani - wengi hawaweki matenki yake ya kuflashia wanatumia ndoo au kikombe
- Choo cha kukaa - wengi hawavitaki,
- Bafu la ndani - hawaweki shower rose wanataka ndoo na kikombe au kata ya kifuu cha nazi (hasa Tanga)
Sio kweliFamilia nzima inakaa mezani kula chakula pamoja tena kikiwa bado cha moto kabisa
Jiko la ndani ni kwa ajili ya emergencySasa kulikuwa na umuhimu gani kuliweka jiko kwenye ujenzi wa nyumba yako kama sio kujitia matatizo tu mkuu?
Gadeim😁😁Katika Watu couth ..
Mimi ni mmoja wapo ila yupo Couth yet uncouth scoundrel who taught me to be couth and uncouth is that woman , that old woman ..
Aliniambia ya ngoswe mwachie ngoswe ..
Ila ulimwengu unanifunza sometimes ya ngoswe kutokumwachia ngoswe ...
Anyway Kila mtu ashinde match zake...
Alafu Mnikosoe ...kwani tumekuuliza ... Kwani mi nimewauliza
min -me Gadeim
Kwa huku kwetu ila wenzetu Uropa ndiyo common toilets everywhere you goChoo cha kukaa cha umma ni majanga.
Wachina wana table manners?
Choo kufanywa bafu ni jambo zuri kwa mazingira kwa sababu inasaidia kudhibiti matumizi ya maji.
Fuatilia ujioneeSio kweli
Mi ni nimekulia Mara ila tulivyokuwa wadogo tulikuwa tunakula kwenye jamvi.Kula kwenye mikeka ni ustaarabu wa Waarabu, watu wa pwani wameiga kutoka uarabuni.
Ndio maana wajanja hutengeneza jiko la nje ambalo ni extra kwa sababu ya ku maintain usafi.Kuna umuhimu gani kutumia jiko la ndani wakati nje kuna upepo mzuri tu, ya nini kujitia matatizo?
Hapana ni mafunzo tuu ndugu yangu..Watoto kweli hawana table manners, wachoyo na ndio faida ya kula kila mtu kivyake.
Been a whileooooGadeim😁😁
Gadeimit maza faki🤣🤣Hapana ni mafunzo tuu ndugu yangu..
I was raised by my father
Been a whileoooo
Howyd ??
Mazafanta Gadeim sheet ...Gadeimit maza faki🤣🤣