Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #41
Hii excuse sasa imebaki kutumiwa na wachache sasa hivi wewe mmoja wao
Wewe mkuu.Mwandishi yupi?
China habari nyengine
China suala jengineNdio maana wanaihofia, China imekuwa nightmare kwao
Si umeona raisi wa Microsoft mpaka anasema ni wakati wa Marekani na Ulaya kushirikiana
Utafiti unaonyesha kufikia 2030 China itachangia industrial global output kufikia 45%
Wakati Marekani itakuwa inachangia 11% na mataifa yote yenye High Income kwa pamoja yatachangia 38%
Halafu kuna mtu anakwambia The next China is India
The next China is China
Sio poa sishangai Sana Hao watu tayari walisha onyesha Ubora miaka zaidi ya 2000 huko iliyopita kupitia the great wall of china Nadhani pia typing write machine iligunduliwa toka kwao if I'm mistaken so hiki wanacho Fanya sasa ni marudio tu ya uwezo waliowahi kuwa nao ancestors wao ,Vyuo bora duniani kwa tafiti za kisayansi kwa sasa kwenye top 10 China ina vyuo saba. Namba moja ikiwa ni Chinese Academy of Sciences
View attachment 3151770
Kwa kweli Ila west wanacho Wazidi wachina ni propaganda tuHiyo mbona sio siri China kwa sasa ndio inaongoza kwenye technological innovation.
Huko kuna hadi maduka yana technology ya kulipia kwa ku-scan kiganja cha mkono tu. Wanawazidi west kwenye kila nyanja technology ya ujenzi wa infrastructure, ubunifu nadhani ni ndio nchi pekee inayotumia vioo ku-reflect mwanga wa jua na kuzalishia umeme, BYD imeipiku Tesla kama brand inayouza magari mengi ya umeme duniani.
Technologically china wako mbali kwa sasa west wanafanya catching up.
Ila jamaa ukishapenda kitu hua unafurahisha na kusikitisha sana, ila unatoa data ya graduate bila kuangalia idadi ya watu wa chini....wewe unataka nchi ya watu 200milion itoe graduates zaidi ya nchi yenye watu 1bilion! Inashangaza sana.Kiwanja hawana uwezo wa kuzalisha kama China.
Upande wa graduates wa STEM (Science, Technology, Engineering, Maths) China ndiyo inaongoza duniani
Mwezi June China imezalisha engineers 1,700,000 wakati Marekani ni 120,000 tu
Mind the gap
Unawapata vizuri wanacho fanya sasa kwangu sio kipya wamekuwa wakifanya katika historia yao.Sio poa sishangai Sana Hao watu tayari walisha onyesha Ubora miaka zaidi ya 2000 huko iliyopita kupitia the great wall of china Nadhani pia typing write machine iligunduliwa toka kwao if I'm mistaken so hiki wanacho Fanya sasa ni marudio tu ya uwezo waliowahi kuwa nao ancestors wao ,
Tanzania mnatoa graduates wangapi kulinganisha na Singapore kwenye science ?Ila jamaa ukishapenda kitu hua unafurahisha na kusikitisha sana, ila unatoa data ya graduate bila kuangalia idadi ya watu wa chini....wewe unataka nchi ya watu 200milion itoe graduates zaidi ya nchi yenye watu 1bilion! Inashangaza sana.
Calculate ratio halafu uje na jibuIla jamaa ukishapenda kitu hua unafurahisha na kusikitisha sana, ila unatoa data ya graduate bila kuangalia idadi ya watu wa chini....wewe unataka nchi ya watu 200milion itoe graduates zaidi ya nchi yenye watu 1bilion! Inashangaza sana.
Population matter....... Population kubwa ya china pia ime changia kuwa na engineers wengii than USKiwanja hawana uwezo wa kuzalisha kama China.
Upande wa graduates wa STEM (Science, Technology, Engineering, Maths) China ndiyo inaongoza duniani
Mwezi June China imezalisha engineers 1,700,000 wakati Marekani ni 120,000 tu
Mind the gap
Population matter....... Population kubwa ya china pia ime changia kuwa na engineers wengii than US
Kama ni ku-outsource walishaanza ukienda Latin America kama Mexico na ASEAN countries kuna investment nyingi za Mchina na wameanza kuingia hata Ulaya
Hii excuse sasa imebaki kutumiwa na wachache sasa hivi wewe mmoja wao
Na bado 30% ya graduates nchini Marekani wana asili ya Asia hasa Wachina na Wahindi
Wee jamaa bwana unatumia hisia na matamanio yako kuwa ni mtazamo wa kila mtu
Kwa nini hizo kazi ngumu wasiwape nyie waafrika ?That proves my point. Kazi ngumu mpe mjinga wewe fanya kazi laini kwa maslahi makubwa ndo walichofanya wawest na wachina wakijipata watafanya kitu hicho hicho.
Wachina hata Afrika wapo unataka kusema nini ?Unajua wachina wangapi wanakimbilia US na Ulaya kwa mwaka? Unajua kiwanja hata janitor hana mpango wa kuondoka? Jiulize kwanini?
Una miaka mingapi bwana mdogo ?Wewe unatumia nini? Ukiambiwa uende China na kiwanja utaenda wapi?