Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #81
Kumbuka pia china inawatu bilion moja na million mia nne na marekan wapo milion mia tatu
Ile kwenye 6th generation fighter naona wamejitutumua wenyewe, ila Ulaya naona wameamua kufanya partnership kuunda.China hawana uvumbuzi wowote ila ni kunakili tu na kuiba teknolojia kwa wavumbuzi. Angalia ile ndege yao ya J-35 ni photocopy ya F-35 ya Marekani..!!
Hiyo ilikuwa zamani
Siku hizi watoto wa kizungu wanasoma muziki kuliko hesabu wjat do you expect?
Ile kwenye 6th generation fighter naona wamejitutumua wenyewe, ila Ulaya naona wameamua kufanya partnership kuunda.
T14 Armata
China hana mshirika wa kuaminika anayeweza kuwa nae kwenye partnership ya aina hiyo tofauti na Marekani.Mbona Marekani yuko mweyewe kwa nini isiwe China?
Na sio China anajitutumua bali anaweza kuisimamia hiyo project akiwa peke yake
Hata ukizingatia wastani wa engineers na population za mataifa yote 2 bado kwa wastani China inazalisha wengi zaidi ya Marekani
Ndo maana nasema walipo wachina sasa West ilikua huko 60yrs ago.
China hana mshirika wa kuaminika anayeweza kuwa nae kwenye partnership ya aina hiyo tofauti na Marekani.
Anasimama peke yake sababu hana mshirika wa kumuamini.Kwenye project kama hiyo inayohusu teknolojia ya kijeshi, silaha hakuna nchi kibaraka wa Marekani kutoka West anayeweza kufanya multinational cooperation na China kwa sababu ya tofauti katika sera za defense and security.
Uzuri Mchina anaweza kusimama peke yake haina shida
Kazi sio engineering tu. West ishapita huko, wanasoma engineering na mambo mengine ambayo China watakuja kuanza kufanya miaka 50 ijayo wakati West itakua mbele zaidi.
Anasimama peke yake sababu hana mshirika wa kumuamini.
Wanazalisha kulingana nademand yao china inaendelea kujengwa napia wanamiradi mingi huku kwetu kwenye dunia yatatu kwaio uhitaji nimkubwa, tofaut namarekan wenzetu wanazalisha wasomi kulingana nademand sio huku kwetu unazalisha walim halaf huna kaz naoHata ukizingatia wastani wa engineers na population za mataifa yote 2 bado kwa wastani China inazalisha wengi zaidi ya Marekani
Wanazalisha kulingana nademand yao china inaendelea kujengwa napia wanamiradi mingi huku kwetu kwenye dunia yatatu kwaio uhitaji nimkubwa, tofaut namarekan wenzetu wanazalisha wasomi kulingana nademand sio huku kwetu unazalisha walim halaf huna kaz nao
Ila wee jamaa bwana unachekesha hasa mstari wako wa mwisho umejaa ujingaJohn Adams, the 2nd President of the United States, once said
"I must study politics and war that my sons may have liberty to study mathematics and philosophy. My sons ought to study mathematics and philosophy, geography, natural history, naval architecture, navigation, commerce and agriculture in order to give their children a right to study painting, poetry, music, architecture, statuary, tapestry, and porcelain."
Ndo maana nasema walipo wachina sasa West ilikua huko 60yrs ago.
Ila wee jamaa bwana unachekesha hasa mstari wako wa mwisho umejaa ujinga
Unaifahamu historia ya China kwa udogo tu achana hata na hii inayo wahusu wakomunistiKazi sio engineering tu. West ishapita huko, wanasoma engineering na mambo mengine ambayo China watakuja kuanza kufanya miaka 50 ijayo wakati West itakua mbele zaidi.
China ikijipata nayo ita delegate kazi nyingi kwa nchi zinazojitafuta. Wao watafanya kazi chache kwa maslahi makubwa. It's the circle of life.
Ana ugonjwa wa kuhisi dunia ni marekani na wenzake magharibi tu hili ni tatizo kubwaHuwa anaandika vitu ambavyo havimake sense kabisa
Mtu kama huyo ni kumpuuza maana hayupo tayari kujifunza ila kuitetea marekani...ukitaka umfurahishe mwambie yametoka mafuta mapya kwaajili ya kusodomoanaIla wee jamaa bwana unachekesha hasa mstari wako wa mwisho umejaa ujinga
Nchi ikishajaza watu weusi akili zinapungua halafu walichobugi nikulipa mahela mengi kwenye mambo yahovyo kwaio mwanafunz hasumbuki tena kusoma makoz magum wakat hata akifanya ususi mapesa kibaoKasome message #90 halafu uone kama Marekani hawana uhitaji
Nitakupa mifano michache kuonyeshaa Marekani wana uhaba wa skilled personnel kwenye engineering
TSMC kampuni ya kutengeneza chip ya Taiwan wamefungua factory Marekani wamekutana na changamoto ya kupata skilled personnel Pia kwenye ship building, engineering skills ni changamoto. Mpaka wameanza kuingia ubia na South Korea. Kampuni ya S.K wamenunua mojawapo ya ship building yard Marekani
Marekani imeanza hadi kufungua military repair facilities S.K na Japan lengo ni kuongeza maritime capabilities ya jeshi a navy la Marekani
"We lack a workforce skilled in critical areas, from shipbuilders to nuclear scientists.
Supply-chain deficiencies have placed great stress on delivery schedules of new weapons.”
China are peer competitors, who have even surpassed the US in many ways.
Nuclear power is no longer the silver bullet for the American empire."
–The Commission on the Strategic Posture of the United States
Wanafunzi wengi wa Marekani wanakimbia field ya engineering wanasomea humanities na commerce.
Ukienda pale kwa Elon Musk programmers wake wengi ni Wachina na Wahindi
Kwa hiyo kuwa na watu wengi ndio nini na pia kama wengi wao ni machinga.Kumbuka pia china inawatu bilion moja na million mia nne na marekan wapo milion mia tatu