Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Alaaa...Kwetu wako watatu walishafukuzwa[emoji1787]
Yaan ni wajuaji balaa. Balaa balaa. Me nimetooka huko. Hakuna rangi wanaacha ona. Wapuuzi sana. Wakielekezwa hawasikii. Kila siku na saa ni meeting. Watu hawaendi field wale product managers. Vikao vya kijinga tu. Halaf wanabana masilahi wao wanajijazia
Tafuta CV ya Silvia huyo demu wa alietakiwa awe MD wa voda alafu uje ucoment Tena hapa kwenye Uzi huuCha kushangaza ukiwa Mchina hapa ukisema wewe ni fundi seremala unapewa kibali. Wachina ni mpaka pale mradi uwe mbaya sana ndiyo utasikia kibali kikiisha hawataongeza muda lakini Wachina wanapewa vibali kama pipi wakati kazi zao na utaalamu wao kuna Watanzania kibao wanao.
Hivyo ukweli hapa kuna jambo la kibaguzi. Watu Watanzania tunapenda sana kujiangalia badala ya kuangalia matokeo. Yaani voda walimkatalia Mkenya wakamleta mwingine kitoka Misri ambaye hakuna ushahidi kwa kuwa na uwezo zaidi!
Una compare education level ya Tanzania na Kenya?Wanafanya Nini hapo juu yako? Nyie mnao amini Kenya wapo juu yetu ni wehu fulani hivi. Naunga mkono kunyima wakenya vibali
Kwa kut00mban@.Wakenya wako juu yako kwenye nini?
so in short na wao watufurushe huko kwako kwakuwa watanzania , wasukuma wana tabia ya kujazana serikalini?Sababu ni rahisi sana, ni rahisi kwa Mkenya ambaye ni jirani yetu kutuhujumu kuliko Mmisri anayetoka mbali kutufanyia hujuma kwa sababu Kenya ni mshindani wetu wa kibiashara; mfano Kenya wanatabia ya kujaza ndugu zao kwenye vitengo vyote, na hii ni kwa sababu wapo karibu na sisi hivyo wanapenyezwa tu. Ila mtu wa Misri ni ngumu kujaza ndugu zake maana kwanza hata muonekano wao ni tofauti na watu watashtuka kuina waarabu wamejazana, ila waKenya ni weusi kama sisi na hakuna atakaeshtuka akiwaona. Kikibwa, Kenya ni mshindani wetu kiuchumi, na lazima tu watatufanyia hujuma kama za General Tyre
Tuna 'jumuia ya Africa mashariki', siyo 'nchi ya Africa mashariki'. Kuwa na jumuiya haituondolei uhuru wa kuamua.
Aliyekwambia kuwa lazima wapewe wakenya ni nani? Hata tukikosa watanzania, kwani ni lazima wapewe wakenya? Acheni kujifanya kama nyie ni bora kuliko watu toka nchi zingine. Hide your stupidity by arguing like an intelligent person.
Ungenijua. 🤣🤣🤣🤣Wakenya hawapo juu yetu, sema wewe si mjuzi wa mambo yanayoendelea duaniani ikiwamo kenya. Wakenya wengi ni misheni town tu kijana
Hii CV ni ya kawaida mno, yaani ni ndogo sana https://www.linkedin.com/in/sylviamulinge/?originalSubdomain=keTafuta CV ya Silvia huyo demu wa alietakiwa awe MD wa voda alafu uje ucoment Tena hapa kwenye Uzi huu
Yaan kama C.E.O akiendelea kuwa nao kampun inaenda kufa mazima na mavifaa yote yale ya hospital na madawsMkenya ni janga kubwa kwa usalama na afya ya mtanzania Yan unaeza kimbia mshahara wa 3m na kwenda 700k kiss mkenya tuu Kama huwez kumudu michezo yao