Kitendo cha kuwakatalia Wakurugenzi wa Kenya na kuruhusu wengine ni ubaguzi

Hapa ndio ninapowakubaligi Uhamiaji sometime wana ujinga mwingi, sometime wanakuwa wafia nchi safi sana hiyo nafasi apewe mdengereko mtani wangu
 
Argument yako ni ya kitoto sana. Unachosema ni kwamba akikosekana mtanzania basi lazima apewe mkenya, akipewa mmisri, mnyarwanda, mganda, ni nongwa! Huo ndio utoto ninaoupinga. Tanzania ina uhuru wa kumpa mtu kutoka nchi yoyote. Nyie pambaneni na hali zenu, whining won't help you.
 
Issue hapa siyo mchangiaji, issue ni hii tabia ya wakenya kujiona wao wanastahili zaidi kuliko watu wengine. Kuna wakenya wengi tu wanafanya kazi nchini kwenye sekta mbali mbali; ikitokea mmoja anakosa nafasi fulani, basi wanakimbia kuja jukwaani ku-whine na kulalamika kana kwamba wao wanastahili zaidi kuliko watu wengine. Waache huo utoto.
 
Kwanini wakenya mnalialia,Nyinyi si mnajigamba ni kila kitu,kaeni kwenu tutakaa kwetu
 
Wajuaji,wamezoea ukabila na wanadharau.lakini pia wanamentality kua watanzania wamelala na hawana uwezo kuchakalika na hivo hua wanatoa maneno ya kashfa kwa wa tz.

Binafsi sipend mentality yao na sidhani kama tunawahitaji.
 
Inaitwa political game changer, umewah kusikia mTz amekuwa mkurugenz ama kushika nafasi za juu kwenye mashirika ya kenya?
 
Inaitwa political game changer, umewah kusikia mTz amekuwa mkurugenz ama kushika nafasi za juu kwenye mashirika ya kenya?

Je uko Misri au China kuna Watanzania?
 
Je uko Misri au China kuna Watanzania?
Ww umeona tukio moja tu la nafasi, umewah kufuatilia njama za kenya kuhujumu ama kudhoofisha mashirika ya Tz?
Utakuwa mgeni Yerusalem, tafuta uenyeji kwanza
 
Wewe ni Mkenya au Mtanzania uliyetumwa kuandika haya na wakenya??? Basi sawa umeeleweka. Lakini sisi Watanzania watoto wa Baba yetu Mpendwa Dr.John Pombe Joseph Magufuli tunamkubali yeye,maono aliyokuwa nayo pamoja na sera zake.Hata hilo unalolalama hapa wasaidizi wake wenye ueledi wameliona na hivyo ndivyo inatakiwa kuwa maana ninyi hamueleweki.Kwanini mnapenda kuhoji yale maamuzi tunayoamua ndani ya nchi yetu ? Yaani kila tufanyacho mnataka kiwafurahishe ninyi na siyo sisi.Endeleeni na mambo yenu tutaamua mambo yetu kadili tuonavyo na si kadili mtakavyo.
 
Tanzania ni mjumbe kwenye sehem nyingi ikiwemo Sadc Au na Eac...
Hivyo tanzania km nchi huru ina uwezo wa kumkubali yeyote au kumkataa yeyote kufanya kanzi nchini.
Kenya wakati moto unawaka mlima kilimanjsro walipofuatwa kukodishwa helikopta yao walikataa..TANZANIA haiku lalamika kokote..
Kila nyumba ina taratibu zake..si busara kupeleka utatatibu wako kwenye nyumba ya mwingine
 
Ishu ni kwamba wananyimwa wa Kenya kwa kusema hata watanzania wapo wenye sifa matokeo yke hawapewi watanzania wanapewa watu wamataifa mengine tena ya mbali.
Tuna maslahi mapana na Egypt, kwa sasa tunajenga Stieglers George pamoja.

Hii ndio economic diplomacy, hao waKenya tayari wako wengi sana hapa kwetu mpaka wanajisahau na kudai Mlima Kilimanjaro uko Kenya.
 
Kuna mambo mengine yana security concerns. Msikimbilie kuropoka ropoka tu.
 
Unajua nani mwenye hisa kubwa VODACOM basi ujue ndio mwenye kauli
 
Akili yako ndogo, huwezi kuelewa makubwa. Hata kama ana element ya ujasusi apewe tu?
 
Kenya haukujui

Haujui wao wana sheria gani?

Haujui wanawakataa wangapi?


Nyie ndio maana mnafinywa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…