Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Huyu mjinga ataiba kura dalili zote tushaziona yote hayo ni kuhalalisha wizi
 
Vijana hawana sababu ya kumchagua rais asijiamini ane ogopa maoni ya wengine.
Magu hafai kuongoza taifa hili
Chagua Tundu
 
Ufike salama ndugu, uteleze kwenye barabara zilizojengwa chini ya uongozi wa JPM! Ukifika Mungu akuongoze ktk upugaji kura wako!
 
Ndio mjue, Tanzania tulikuwa na uhuru wa kutosha kabisa. Kufungiwa kwa mitandao hii kwa muda ni kuzuia umbea na uongo kuenea.

Kuna nchi sasa, hawapati kabisa hizi huduma.. sisi kwa siku chache umwvimba hapa.
 
Sasa ni dhahiri tumeingia kwenye Utawala wa kimabavu. Ukiongozwa na Magufuli na Ghost Voters wake
Msilielie jamani leo ni USHINDI WA KIHISTORIA kwa Magufuli.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
HAYO HAYATUTISHI PIGA KURA NENDA NYUMBANI YAANI UNADHANI KURA NDO ITAKAYOAMUA KILA KITU.....POLE BRAZA
 
Huyu mjinga ataiba kura dalili zote tushaziona yote hayo ni kuhalalisha wizi
Mdomo uliponza kichwa! Let's ushahidi! Twendeni tukapigie kura amani, maendeleo na uzalendo! JPM ndio mpango mzima! Kila aliye na utimanu wa akili analijua Hilo! Stay blessed!
 
Wamefanya Uamuzi wa kijinga sana kwa Hasira mm na familia yangu naenda kumpa kura Lissu.
 
Watanzania hatujawahi kuzoea hali kama hii, tunasikia tu huko Rwanda na kwingineko
 
Kuna watu walikuwa wakisema mitandao ya kijamii haina impact yeyote kwenye uchaguzi wakafikia hatua ya kusema mitandao haipigi kura na haisaidii after all watumiaji wake ni wachache na haifiki vijijini, leo wanasiasa na serikali inahangaika kuzima YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram ili isiwafikie wapigakura.

Nawakumbusha tu kuwa Mubarak wa Misri na Gadaffi waliondolewa na wanaharakati wa mitandaoni.
 
Kwani kikura chako ndo kinampa ushindi pekee unae mchagua?
 
Kwani kuna mabox ya kura yako Insta au tweeter? Kapigeni kura vituoni acheni mbwembwe..
 
Barabara zinajengwa kwa kodi nnayolipa mwenyew wala sio hisani ni wajibu wao

Tunataka taifa hili liongozwe na akili mpya maana akili ya CCM haina akili tena. Bila aibu unaongoza taifa zaidi ya miaka sitini bado unajisifia kujenga barabara tu, tuwape miaka mingapi zaidi mtakua mmemaliza barabara?
Ufike salama ndugu, uteleze kwenye barabara zilizojengwa chini ya uongozi wa JPM! Ukifika Mungu akuongoze ktk upugaji kura wako!
 
Tulionyimwa kutumia WhatsApp na sie tuna Jambo Letu, lazima tumalizie machungu kwenye sanduku la kura leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…