Shite boss
Senior Member
- Feb 18, 2018
- 167
- 201
Ni Lissu Pekee 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufike salama ndugu, uteleze kwenye barabara zilizojengwa chini ya uongozi wa JPM! Ukifika Mungu akuongoze ktk upugaji kura wako!Mijitu mijinga kama wew n hasara kubwa kwa taifa
Nilipanga nisipige kura kutokana na umbali niliopo na kituo nilichojiandikisha lakin kwa ujinga mliofanya Jana najiandaa asubuhi hii nipande basi mpaka saa nane au tisa ntakua nimefika nikaisambaratishe ccm kwenye sanduku la kura.
Mijitu mijinga sana nyie
Huyu mjinga ataiba kura dalili zote tushaziona yote hayo ni kuhalalisha wizi
Msilielie jamani leo ni USHINDI WA KIHISTORIA kwa Magufuli.Sasa ni dhahiri tumeingia kwenye Utawala wa kimabavu. Ukiongozwa na Magufuli na Ghost Voters wake
HAYO HAYATUTISHI PIGA KURA NENDA NYUMBANI YAANI UNADHANI KURA NDO ITAKAYOAMUA KILA KITU.....POLE BRAZASISI KAZINI KWETU TOKA JANA HAKUNA INTERNET, KI UKWELI TUMEUMIA SANA...TUMESHINDWA KUTOA SALES INVOICES NA CASH SALES KWA SABABU YA KUKOSA INTERNET...ACHA KESHO NIKAPIGE KURA YANGU...HALAFU NISIKIE MTU ANAKUJA KUMTANGAZA MWINGINE AMBAYE HAJASHINDA...TUTAELEWANA AISEE...
Mdomo uliponza kichwa! Let's ushahidi! Twendeni tukapigie kura amani, maendeleo na uzalendo! JPM ndio mpango mzima! Kila aliye na utimanu wa akili analijua Hilo! Stay blessed!Huyu mjinga ataiba kura dalili zote tushaziona yote hayo ni kuhalalisha wizi
Lakini mnaogopa uhuru wa watu kupata taarifa.Kura zote kwa Magufuli, ushindi kama kumsukuma mlevi, Lissu ni loser
Siwezi kuinyima kura CCM sababu ya mitandao
Kwani kikura chako ndo kinampa ushindi pekee unae mchagua?SISI KAZINI KWETU TOKA JANA HAKUNA INTERNET, KI UKWELI TUMEUMIA SANA...TUMESHINDWA KUTOA SALES INVOICES NA CASH SALES KWA SABABU YA KUKOSA INTERNET...ACHA KESHO NIKAPIGE KURA YANGU...HALAFU NISIKIE MTU ANAKUJA KUMTANGAZA MWINGINE AMBAYE HAJASHINDA...TUTAELEWANA AISEE...
Ujinga mkuu huu.Kwa sababu wewe ni zwazwa huna ubongo wa hata kujiuliza kwa nini wazime na wao wana uhakika wa kushinda kwa 98%View attachment 1614089
Ufike salama ndugu, uteleze kwenye barabara zilizojengwa chini ya uongozi wa JPM! Ukifika Mungu akuongoze ktk upugaji kura wako!
Tulionyimwa kutumia WhatsApp na sie tuna Jambo Letu, lazima tumalizie machungu kwenye sanduku la kura leo.Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).
Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?
Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.
Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.
Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.