Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Ndo shida ya afrika why mtu mmoja muoga tu awapande watu kichwani Hadi kuwanyima haki zao za msingi
 
Haya mlitangaziwa mapena sana mfanye mkawa wabishi
Play store nayo imezimwa kwa sababu inatoa mwanya wa kudownload universal VPN /APN ambayo ukiinstall kwenye simu yako inakuwezesha kufungua mitandao iliyofungwa/iliyozimwa katika ngazi ya Nchi.
 
Piga kura kwa Magufuli, usipoteze kura yako kwa loser Lisu
Poa tu. Afadhali kura yangu ipotelee kwa Lissu kuliko kumpa dikiteta Pombe.

Yeye Pombe kama atatawala basi iwe sio kwa kura mbele za Mumgu atoaye hukumu
 
Watoto wote huo umati ni Arusha na nilikuwepo nimeshuhudia mwenyewe
 

Attachments

  • Screenshot_2020-10-23-10-47-20.png
    Screenshot_2020-10-23-10-47-20.png
    615.3 KB · Views: 1
Vihere here wa kupost utumbo imekula kwenu. Mlitumainia mitandao ya kijamii na hizo app zenu kutuvuruga. We are extra miles ahead of you. Hahaha
 
Wamesema officially kuwawamezima? Au ni hitilafu tu. Nauliza tu.
 
Kwa sehemu. Ila watanzania wengi shule hamna. Lakini wakifanya hili miaka ishirini ijayo, litawagharimu sana.
 
Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga hivi.
 
Sasa ni dhahiri tumeingia kwenye Utawala wa kimabavu. Ukiongozwa na Magufuli na Ghost Voters wake
Kisa kuzimwa mitandao 😂😂, wangekua wameyafungia makanisa na misikiti basi tungesema huu ni udikiteta
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Leo twendeni tukamjibu kwenye sanduku la kura
 
Play store nayo imezimwa kwa sababu inatoa mwanya wa kudownload universal VPN /APN ambayo ukiinstall kwenye simu yako inakuwezesha kufungua mitandao iliyofungwa/iliyozimwa katika ngazi ya Nchi.
Hilo nalo siyo issue, unadownload VPN direct from website bila kupitia Play store. There are so many workarounds.
 
Back
Top Bottom