Kitendo cha mabeberu kufungasha na ongezeko la utitiri wa kodi

Binafsi nimejitoa sadaka kuusema ukweli maana ukweli utaniweka guru. Ni muda mrefu sasa tumekua tukijifariji na kufarijiwa kwamba Tanzania hakuna corona. Lakini tukiangalia nchi majirani zetu wrote wanasumbuliwa na ugonjwa huu , kwanini sisi tu?
Ikanilazimu kuendesha utafiti wangu kwa siri nikishirikiana na meneja wangu idara ya majengo na meneja wangu idara ya masoko, kwa pamoja tumethibitisha kuwa kuna zaidi ya wafanyakazi 15 walioingia kiwandani hapa wanavyo vimelea vya virusi hivyo (japokua hawajaanza kuonyesha dalili). Sasa baadae ya kuligundua hilo (na vithibitisho ninavyo), nimeazimia kuwa kila mgeni anayeingia kiwandani au mfanyakazi, ahakikishe amevaa barakoa ili kuzuia maambukizi kuenea zaidi. Na kama hali itaendelea kuwa mbaya zaidi nitaiomba serikali ifikirie kuutangazia umma wa watanzania kuwa corona bado IPO na tuchukue tahadhari.

Na huo ndio uzalendo.

S. Nkelebe
+255754265167
 
Hao hizo sio Kodi ni unyang'ang'anyi kwa kutumia mgongo wa sheria wanazotunga wao kupokonya hela kutoka kwa wananchi...bidhaa moja mpaka inaingia Tanzania ili imfikie mteja ina Kodi ya hatari..
 
Sheria za kutungwa kila siku kwa ajili ya kuwakamua watu?hata Leo watakuwa wanabuni sheria mpya ya kumnyonya mwananchi,
Ukitaka kujua uhondo wa ngoma ingia ucheze
Wapi hawatungi sheria kila siku? Sheria zinatungwa kutokana na mazingira yanavyobadilika ili kuleta tija kwa taifa.
 
If you know that, why then can't you contact your MP in order to change that?
 
Hii nchi maajabu hayaishi kamwe,wanaosisitiza wenzao kulipa kodi wao hawalipi mfano Rais ambaye ndiyo Kiongozi wa Nchi halipi Jodi. Je,huyo siyo Mwananchi Mzalendo?
Tatizo lako uelewa ni mdogo. Rais anafanya kazi 24 hrs hana likizo ki-vile unavyofikiria. Gombea na wewe urais usilipe kodi, kupanga ni kuchagua.
 
Sio lazima ufanye biashara, kama hutaki kulipa kodi? Lazima mtapike kodi zile zama za kuwaonea huruma zimekwisha. Its very simple, if you don't want to pay the tax do not do business.
 


Mfundishe huyo (put him to school).

Hata ng'ombe wa maziwa hukamuliwa huku akipewa pumba.🤣

Chemistry na Uchumi wapi a wapi?!!
 
Tanzania Police, Fines and Penalties Authority (TPFPA)
 
Umeshawahi kufanya biashara yyte!?
 
Sio lazima ufanye biashara, kama hutaki kulipa kodi? Lazima mtapike kodi zile zama za kuwaonea huruma zimekwisha. Its very simple, if you don't want to pay the tax do not do business.
My friend, siyo kila biashara inatozwa kodi ujue! Msukuma anayemiliki ngombe 1000 pale Mpanda, halipi kodi yoyote!! Is that not a business?
Na huyu hadi leo amewekwa kundi la masikini ( Mfugaji)!
 
Umeshawahi kufanya biashara yyte!?
Mimi ni mkulima hapa Ruvu ninalima mahindi ya kuchoma na mboga mboga
Kila wiki kuna magari yanakuja shambani kwangu kuchukua bidhaa
Natii sheria za nchi bila masharti
Nalipa kodi zote
Naishi kama sultani katika nchi yangu
Nyie wajanja janja lazima muumie maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
My friend, siyo kila biashara inatozwa kodi ujue! Msukuma anayemiliki ngombe 1000 pale Mpanda, halipi kodi yoyote!! Is that not a business?
Na huyu hadi leo amewekwa kundi la masikini ( Mfugaji)!
What's your point?
 
Sasa mkuu si useme sheria ipi ya kodi sio nzuri au haitakiwi na kuweka mizania ya faida yake na hasara zake kuliko kupayuka tu. Weka facts mkuu!
 
Hii nchi maajabu hayaishi kamwe,wanaosisitiza wenzao kulipa kodi wao hawalipi mfano Rais ambaye ndiyo Kiongozi wa Nchi halipi Jodi. Je,huyo siyo Mwananchi Mzalendo?
Mwenyewe unajiona umeweka bonge la point? FYI JPM alipoingia alishusha mshahara wake kutoka apprx. USD 15000 alizokuwa anapata JK hadi kufikia USD 5000 equivalent. BTW I can give you that as his tax ambayo ni approx. 60%. Wajinga kama wewe JF wapo wengi.
 
What's your point?
I was refering to your ilusial comment! That, farming is not a formal bussiness". Under good governance, cattle owners could share equally in boosting national income through tax paying. Contrarly, they are looked at as " poor" community irregardless of others owning thousands of cattle herds!
 
Uko sahihi sana. Na ilipaswa wazalishaji wengine nao wafanye hivyo kuinua zaidi na kwa pamoja pato la nchi yetu. Je, ni eneo lipi mfugaji ambaye ni mzalishaji sawa au zaidi yako kisheria anawajibika kulipa kodi kulingana na idadi ya mifugo yake? Niambie Mkuu, hapo mapori ya Ruvu kuna wamasai na mifugo lukuki,isingekuwa busara tukaona njia nzuri nao wakachangia kisheria kama sisi tunavyofanya? Dhambi ni ipi kama watafanya hivyo?
 
af hapo ukute ipite miezi miwili bila semina zisizo na kichwa wala miguu unavyonuna sasa,mataga bwana sijui akili zenu kwajili ya kazi gani sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…