Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

Serikali na ifanye kazi jumapili kukwepa udini...
 
Yeye ataheshimu dini yako inayoruhusu kula kiti Moto. Wanawaua nguruwe ukifuga karibu nao hata Kama wamekukuta unafuga wao wakiwa wageni
tatizo nguruwe wanafugwa kichafu chafu sana, inatakiwa wakafugwe porini huko.
 
Mimi siipendi hii Dini ya Majini ila Raisi alikuwa sahihi.
Ile mikelele ya maspika hata angeongea vipi asinge sikika.

Ni bora alivyonyamaza.
Raisi samia ana Hekima nyingi sana.

Mimi pamoja na Ukristo wangu lialia nampenda sana Samia kuliko lile Jambazi la kisukuma.
Lile liuaji na Liibaji na Libakaji.
 
Ulishawahi kulaumu pale Magufuli alipokuwa analihutubia kanisa akiwa kanisani? Ulishawahi kujiuliza hilo litaathiri nchi?
Kikubwa zaidi acha ubaguzi wa kidini jambo hilo halitakusaidia wewe na taifa pia.
 
Huna ukristo wowote unachuki za kikabila tu bwege wewe!
 
Kenyata alifanya tukamsifu, Mama amefanya tunasikia maumivi. Ni wivu
 
Makala ndefu namna hiyo eti sababu ya Rais kukaa kimya kwa dakika 3 kupisha adhana !! Kumbe bado tupo nyuma sana !! Kama bado wapo watu wanafikiria vitu vidogo vidogo namna hii kwakweli tutaburuzwa sana mpaka tutie akili !! Kwani Rais Kenyatta aliposimamisha hotuba yake hapohapo Dodoma kupisha adhana kwa hizohizo dakika alikuwa ni wa dini gani ? Maana wewe upo kidini zaidi ! Andika thread zinazohusu matatizo muhimu yaliyopo nchini achana na haya mambo ya ajabu ajabu , huko tulishaondoka miaka mingi sana !! Sasa hivi tunasumbuliwa na maisha magumu, kupanda bei vitu vingi, bila kusahau PANYA ROAD !!
 
Ulishawahi kulaumu pale Magufuli alipokuwa analihutubia kanisa akiwa kanisani? Ulishawahi kujiuliza hilo litaathiri nchi?
Kikubwa zaidi acha ubaguzi wa kidini jambo hilo halitakusaidia wewe na taifa pia.
Tuzungumzie habari za kupanda bei vitu na Hao Panya Road wanaotaka kuleta balaa katika jiji LA Dar hayo mambo ya adhana au kuhutubia kanisani hayatusaidii kitu !! Tunafanyaje kukomesha Panya Rodi ??? Ndio swali kuu kwa sasa !!
 
Pole sana, hata Rais wa Kenya alivyotembelea Tanzania alishwahi fanya hivyo, ni kawaida sana...
 
Nilikuwa sina dini na si lazima niwe na dini. Wewe umeona wapi jina la Masanja likiwa na dini?
 
Hili ni kosa kwa kuwa serikari haina dini.
 
Hakuna tatizo kabisa na ni Jambo jema kabisa kuona kiongozi Wetu anamuheshimu Mungu.

Ila Mimi binafsi ninakereka Sana Kwa makelele kwenye makazi yetu bila kujali ni dini gani na Sheria za mazingira zipo wazi ni kweli Wana Uhuru wa kuhubiri lakini kuwe na UTARATIBU wakuwahubiria wafuasi wao badala ya kuhubili nje ya wafuasi
 
Mbona hilo kaiga toka kwa Rais Mkristo ambaye ni Kenyatta na alilifanya hilo hapo hapo Dodoma mwaka jana? wewe utakuwa na chuki binafsi
 
Mtoa mada akija kuishi Tanga hatazoea hizo adhana any time na hakirudi kwao atakuwa kashajua adhana inatamkwaje
 
Jinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…