Watu wanakua na chuki ambazo hazina msingi...Hata kama ni uhuru wa maoni, haina maana tusiwe objectiveaisee hapo hakuna baya lolote,wala siyo udini,ni heshima kwa wananchi,serikali haina dini ila watu wana imani zao na dini zao,kwenye kuapishwa mbona wanashika bibilia ama msahafu na hatuhoji,tupunguze kuwa vijana wa hovyoo eti "WAKRISTO TUVUMILIE" uvumilie nini?
Hata Peter Kibatala kwenye kesi ya UHUJUMU UCHUMI pale mawasiliano alifanya hivyoImekaa hivyo hivyo nafikiri kenyeta aliwahi kufanya hivyo pia
Watu ninyi ndo hamfai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10Leo tarehe 1/5/2022 rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na rais kiongozi mkuu wa serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
NyokoLeo tarehe 1/5/2022 rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na rais kiongozi mkuu wa serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Hizi chuki hizi ni vyema tukaanza kuzikemea...Daah mtu unamchukia mtu mpaka una kuwa nity pickyMkuu, kitaifa imekaa vizuri tu wala hakuna tatizo. Na yeye alisema kuwa ni vema kuheshimu mila na tamaduni zetu.
Hata Rais Uhuru Kenyata alikatisha hotuba yake Adhana ilipoanza kusikika sio tu mbele ya watanzania bali mbele ya viongozi wa kimataifa na kimsingi aliheshimu jambo hilo ilhali yeye ni Mkristo kama wewe.
Sasa sijui wewe umepatwa na hisia gani kiasi uone ni jambo la kujadili.
Lakini pia eneo lile la uwanja wa mpira ni karibu sana na mahala msikiti ulipo. Wote wanatumia vipaza sauti, sio rahisi kusikilizana ikiwa nayeye angeendelea kuhutubia.
Mwisho, utaumia roho bure kwa kuona hata jambo dogo hilo wewe unakwazika. Ingekuwa vibaya kama na wewe umelazimishwa kufanya hivyo bila hiari yako.
Kwani aki copy tabia njema kuna kosa gani? Si ndiyo akili kubwa hiyo? Acheni unazi!Ame copy huyo hana jipya kwa nn asifanye siku zote mbwe mbwe tu ndio anaweza
Unashangaa nini?Wakati ndio timu pingapinga!Leo mnageukana?Hivi kuna wakati mnatumia busara kumbe!!Yani hilo nalo limekukera??? kuna ubaya gani?
Siongezi neno.Hii nchi kila kitu ni cha kupingwa. Upinzani wamelemaza sana vijana wa nchi hii..
Nchi ya hovyo sana..
Stress zako peleka kwenu sina cha kukusaidiaUnashangaa nini?Wakati ndio timu pingapinga!Leo mnageukana?Hivi kuna wakati mnatumia busara kumbe!!
Ndio zao hizo. Chuki chuki chuki.Hata mtu akisema kesho ni Jumatatu pinga.Hizi chuki hizi ni vyema tukaanza kuzikemea...Daah mtu unamchukia mtu mpaka una kuwa nity picky
Leo tarehe 1/5/2022 rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.
Hivi wadau wa utaifa hili lilipaswa kufanywa na rais kiongozi mkuu wa serikali ambaye tuna amini anaongoza SERIKALI ISIYO NA DINI?
Wananchi wakristo inabidi tuendelee kuvumilia tu kama msingi wa dini yetu.
Ilikuwa siku ile ya kumuaga Magufuli kitaifa pale Dodoma.Jambo la kiungwana sana hili
Nakumbuka hata uhuru kenyatta pia alifanya hivyo nadhani siku magu anaapishwa
Hili ndilo jibu sahihi hata akina kingunge wataelewa.Rais hakuwa sebuleni bali alikuwa katika umati na maspika huku pia msikiti ukitumia maspika. Hata kama si kwa imani alitumia hekima na busara kusitisha kwa muda.
Acha wivu wa kitoto, jana nilikuwa taifa pale Mwai Kibaki amepewa heshima kabla game haijaanza na katikati ya game walipewa dakika 3 za kufungulia swaumu kwa wachezaji waliofunga Ramadhani!Leo tarehe 1/5/2022 rais akiwa anawahutubia wafanyakazi Dodoma katika siku muhimu ya wafanyakazi duniani, ilitokea kusitishwa hotuba Kwa dk kama 3 na rais pale Adhana ya mchana ilipokuwa ikisika kutokea msikitini karibu na uwanja wa Dodoma.