Kitendo cha Rais kusimamisha hotuba kisa Adhana ya waislam imakaaje hii kitaifa?

Mkuu huu uzi ni wa kipumbafu sana.

Kama ulicheki jana mechi ya yanga na simba mwamuzi ulipofika muda wa kufuturu alisimamisha mpira ili wachezaji waislamu wafturu, kwahiyo katika soka nako kuna udini??

Raisi wa kenya pia nae aliwahi kusimamisha hotoba ili kupisha adhana!!

Serikali haina dini lakini sio kua haiheshimu dini zilizopo, kwani pale anahutubia kideoni au wapi, si kuna watu kwa maana hiyo inabidi awaheshim wao na dini zao.

Jaribu kuwaomba mods wafute huu uzi.
 
Reactions: Tui
Mbona nijambo zuri sana kuheshimu dini ,mbona kinyata alishawahi kufany hivyo tuheshimu iman za wenzetu ndio uungwana
 
Reactions: Tui
Mkuu Kichwa Chako Ndani Kina Ubongo Au Ice Cream?
 
Reactions: Tui
Ni utamaduni wa kuheshimiana tu,na mwanzilishi wa hili ni Mh sana rais wa Kenya Mh Uhuru Kenyatta pale Dodoma kwenye kuapisha mwendazake kama sikosei 2020
 
Reactions: Tui
na wewe unaifatilia hotuba inakusaidia nini wakati weww ndio fursa nchi hii
Nikweli hotuba yenyewe haikuwa na faida kwa watarajiwa kufaidika. Hata angeamua kuacha binafsi nisingelaumu. Kwani baada ya kuendelea watumishi wamefaidika nini na wamepungukiwa nini kwa kusitisha hotuba!!!!!!??

Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app
 
Umeathirika vipi wewe??? Imani yake inamuelekeza kunyamaza pale anaposkia adhana.

Sawa serikali haina dini ila yeye si anayo dini yake?? Mbona watu mna nongwa sana??
Kweli hii Nongwa sio ya Nchi hiii asee
 
Imekaa hivyo hivyo nafikiri Kenyatta aliwahi kufanya hivyo pia
Tena Kenyatta ni mkristo na alifanya hivyo ndiyo itakuwa muislam!!!! Sijui kwa nini baadhi ya watu wana-mind vitu vidogo vidogo!!!!
 
Reactions: Tui
Wakristo wenyewe tumempinga.
 
Reactions: Tui
Mama Samia alisitisha kuongea Muda wa Adhana lakini Sura yake Haikupendezwa na alichokifanya na ilionyesha ni kama alitamani liadhana liishe mapema.
 
Aaaaaaah sa apo udiniiii unakujajeeee mbn uhuru kenyata hapo hapo dodoma kwenye shughuli ya kumwaga JPM nae alifanya ivo ivo hilo hukuliona ila iliiii la leo ndo umeonaaaa
 
Reactions: Tui
Inatufundisha mungu nimkubwa kuliko uongozi nadhani umelewa vyeo na madaraka vinatoka kwake
 
Reactions: Tui
Alikuwa anaapishwa kuongoza malaika au una maana gani? Kumbukumbu zako ziko sawa kweli?
Sahihi aga tu

Huna haja ya kuleta ushoga wako kwenye thread

If I am wrong , just correct it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…