Kitendo cha serikali kutuma ujumbe wake kwa Papa Vatican kiwe ni ujumbe kwenu kanisa Katoliki Tanzania

Sasa mimi misingi ya makafiri inanihusu nini??

Nyinyi mna dini yenu na mimi nina dini yangu

Nachokueleza ni kwamba hatuongei na hao ngedere sisi...
Kama hujui acha kujifanya mjuaji wa kukabiliana na kitu usichokuwa na uelewa nacho utatumbulia shimoni. Kipofu unataka uongoze watu njia kweli?
 
Kitu hujui hata papa yupo chini ya Maaskofu nyie ndo mlitumwa kupanda maua
 
lkn kwa nini unaita Christians mbwa? ...

Umeona yule niliemjibu kawaita waislam nani??

Soma ufuatilie vitu vizuri...

Jamaa zako ni hodari kuwatukuna waislam humu jukwaani..

Anamuita Rais wa nchi kwa lugha ya matusi kuna ubaya gani tukisema kuwa na yeye ni mmbwa??
 
Unatambua kuwa TEC ilikua ina kaa vikao vya siri na chadema katika masuala ya siasa??
Umesema hujui misingi, mifumo na taratibu za Kanisa kwasababu haupo huko. Hauoni unajipingawenyewe Sasa. Haya umeyajuaje tena.
Don't contradict yourself man.
 
Umesema hujui misingi, mifumo na taratibu za Kanisa kwasababu haupo huko. Hauoni unajipingawenyewe Sasa. Haya umeyajuaje tena.
Don't contradict yourself man.

Unajua TEC ilikua inafanya vikao vya siri na chadema??
 
Serikali imewaonesha kanisa katoliki kuwa inazungumza na boss wao na siyo wao wanuka mikojo
BIG CHAWA tatizo umewehuka, Watanzania na wakatoliki ndo wanajua mbivu na mbichi ya kikichotokea 29.. Huwezi kuficha uchafu uliofanya kwa kujisafisha Vatican.... Nikuulize JF imefugwa na serikali kuingia humu lazima kutumia VPN we BIG CHAWA kutwa upo hapa kuikingia kifua serikali iliyozuia jamiiforums , hujioni kwamba umechanganyikiwa na waliokutuma uwepo hapa..
 
Sawa. Pamoja na yote, TENDENI HAKI HAKI HAKI, mpunguze kujitetea.
Hao walioenda kwa Papa, wamekumbuka kumwambia kuwa, padre wake ambae ni katibu mkuu wa TEC alishambuliwa na mpaka leo serikali imeshindwa kutoa report ya waliomshambulia? Mmekumbuka kumweleza ukweli kuwa, Kanisa Katoliki Tanzania linapendekeza Approach ya HAKI, UKWELI NA UWAJIBIKAJI kabla ya hayo mnayoyaita maridhiano? Mmemweleza ukweli wa nani aliyetuma wale waliokua wanashoot ovyo watu wakati na baada ya Uchaguzi? Mmemweleza Juu ya hali ya watu kupotea na kutekwa kabla na baada ya Uchaguzi?
Nawakumbusha tuu kuwa, Papa ana taarifa zote kuwahusu nyinyi. Kama isingekua kigezo cha Umri, baada ya ujumbe wenu huo, Pope angempandisha daraja Fr. Dr. Kitima kuwa askofu wa Jimbo Jipya la Songwe.
 
Nendeni kawafikishieni salamu wale wavaa magauni kwamba

Serikali ni dola na wao wajifunze adabu kwa dola.

Dola inaongea na boss wao vatican na siyo hao na magauni yao yanayonuka mikojo. .
Sawa mchepuko wa abdu
 
Walienda kumshtaki Father KITIMA
 
We kweli bwege...unafikiri kanisa katoliki ni kama bakwata? Hilo
Umesoma Vatican News? wewe kweli taahira. Yaani mijitu imetapakaa damu halafu inapeleka mata.ko yao vatican nawe unaona ni jambo la maana.? Information za mauaji ambazo wanazo akina kitima na TEC, papa pia anazo...
 
Papa anajua situation ya Tanzania kuliko hata Muuaji mwenyewe. Upapa ni taasisi. Kuna waumini wake wameuwawa Oktoba 29.

Huyo Mpaka Poda (Mzenji) amekwenda kutaka kuonyesha tuu kwamba wanalimudu Kanisa, na kujikosha/kujisafisha kwa kuua maelfu ya watu mchana kweupe.

Mpaka Poda na Kaffir Mkuu anatakiwa ajue, faili la Mauaji limeshamtangulia zamani sana kwenye mimbari ya Vatican.

Vatican wapo mbele ya muda, wana kila namna ya kupata taarifa kwa haraka na kwa uhakika, faili la Muuaji kuua, kuteka na kutesa watu, lipo kitambo sana hapo. Spana kwa wauaji zitaendelea kama kawaida.

She's definitely a bloodthirsty kaffir and cold blood murderer.
 

WEwe ni punguani, hakuna unachoelewa. Mfumo wa Kanisa Katoliki usidhani upo kama wa CCM, wa kusema ni amri toka juu.

Papa ni kiongozi wa Kiroho, siyo mtawala wa Kanisa la mahali. Ndiyo maana mapadre na maaskofu wote siyo raia wa Vatican. Baraza la Maaskofu la nchi ni taasisi inayojitegemea kiutawala. Papa anabakia kuwa mshauri tu kama akiombwa. Papa anasimamia masuala ya kiimani tu. Kwa mfano Kanisa Katoliki la Tanzania likiamua lenyewe mapadre wake watakuwa wanaoa, hapo Papa ataingilia, kwa sababu linagusa utaratibu wa kiimani. Usitarajie kuwa baada ya TEC kutoa tamko kuwa utawala wa Tanzania unakiuka misingi ya haki, halafu Papa atasema kuwa Tanzania ipo vizuri, hilo sahauni kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…