Uchaguzi 2020 Kitendo cha Tundu Lissu kukubalika Kanda ya Ziwa kwa kiwango hiki inaashiria nini?

Tumeshawaambia hadi tumechoka picha zenu za kuchakachua za kitengo chenu cha uchakahuaji CHADEMA tumezichoka.Mwacheni Lowasa apumzike picha zake za mikutano yake mlizochakachua inatosha.
Yaonekana hata usingizi wa 'piriton' hauji. Muone dakitari kwa ushauri.
 
Tusali Sana tumuondoe one way. Ccm na vyama vyote vya upinzani wekeni nguvu pamoja kumngoa huyu mtu.
 
subirini wazee mtakuja kujua hamjui
 
Kama kawaida mungu mtu, ujuaye yajayo! Ila ujue mmebakisha dola na nec ccm tu! Bila hivyo ni Kama samaki nje ya maji
 
Mpe njaa safi mnafiki wa kima cha juu.
 
Pana Taarifa zina sambaa kuwa Polisi wanapiga Watu Mabomu ya Machozi baada ya Fujo iliyozuka kwa kukutana wafuasi wa Chadema na CCM ,huko huko Geita.Mwenye Taarifa zaidi atujuze.

Walipiga wakati Lisu alipofika mjini. CCM waliandaa vijana, wakashambulia msafara kwa mawe, bahati vijana waliokuwa na Lisu wakajibu mashambulizi. Barabara kuu ilikuwa na mawe nyakati za saa 11 jioni.
 
wacha we wazalendo safari hii CCM aibu sana
 
Hivi jamani na nyie mnafikiri geita kabisa geita wampigie Kura Tundu lissu half wamwache magu
Kama wamepata uthubutu wa kumlaki,kumshangilia na kuhudhuria mikutano yake kwa maelfu mchana wa jua na mwanga, hawawezi kushindwa kuweka tiki kwenye kiboma pembeni ya picha yake kwa siri.
 

Kinachokuhakikishieni kwamba huyo mtu wenu atapita kwa kishindo ndicho kinachotuhakikishia sisi pia kama mtu wetu atapita kwa kishindo.

Washauri wafanye uchaguzi huru na haki halafu tukutane hapa jukwaani.
 
Walipiga wakati Lisu alipofika mjini. CCM waliandaa vijana, wakashambulia msafara kwa mawe, bahati vijana waliokuwa na Lisu wakajibu mashambulizi. Barabara kuu ilikuwa na mawe nyakati za saa 11 jioni.

Dah ,poleni sana Ndugu zetu na asante kwa Taarifa hiyo Mkuu.
 
Embu fafanua mkuu hiyo association Ni ipi na inafanyaje kazi over drive

Siwezi kukuambia tusubiri matokeo, but do you know that, the dangerous lesson they have learned from their 2015 victory is that they can subvert institutions, display a contempt for parliamentary democracy, lie without restraint and there is no political price to pay whatsoever.
 
Wengi mashabiki wa lisu hawajajiandksha kupga kura😀😀
 

Hapa umenipoteza mazima
 
Walipiga wakati Lisu alipofika mjini. CCM waliandaa vijana, wakashambulia msafara kwa mawe, bahati vijana waliokuwa na Lisu wakajibu mashambulizi. Barabara kuu ilikuwa na mawe nyakati za saa 11 jioni.
Hiyo haitasaidia zaidi ya kumuongezea Lissu kura na umaarufu.
 
Kama mnategemea wizi sawa
 
Wata kuambia ni photo shop.
Sio Geita ni za Lowasa.
Ccm kwushney..
Ila tatizo sio chama. Baki shida ni kumpa rais nafasi ya kuwa mwenyekiti wa chama.
Hivi ni nani atamfunga stop engine??
 
Dah ,poleni sana Ndugu zetu na asante kwa Taarifa hiyo Mkuu.

Asante Sana mkuu. Japo ilitucheleweshea muda wa kumsikiliza Lisu. Ilibidi kamaliza kuongea kwenye 12 karibia na nusu huko. Asingekutana na upuuzi wa kijuha huo, angewahi kuongea na wananchi wake.

Ila vibe la watu lilikuwa so mchezo. Baada ya mkutano, alisindikizwa hadi OFISI za Chadema, na wafusi wengi Sana.
 
Kapicha kameeditiwa weeee!

Chadema hata muhangaike vipi, Lisu haingii hata mara 10 kwenye mafuriko ya Slaa 2010 achilia mbali ya Liwasa 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…