denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Hivi unajielewa kweli unachoandika?si sawa kutulazimisha sisi wanasimba kuhudhuria tamasha lao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unajielewa kweli unachoandika?si sawa kutulazimisha sisi wanasimba kuhudhuria tamasha lao
Kuna watu akili zao sijui huziweka wapi? wanapenda kukurupuka kabla ya kuanzisha uzi.Huu ni ushabiki maandazi japo me ni Simba ifike kipindi ushabiki wa kipuuzi tuuwache unaua mpira wetu mbona Msimu uliopita kwenye hilo tamasha lao walijaza bila koffi olomide mbona sisi Simba tulimleta Diamond kwenye tamasha letu la Simba Day? Hao wasanii wanaletwa kwa lengo la kunogesha Tamasha.
Mbumbumbu ni mbumbumbu tu.si sawa kutulazimisha sisi wanasimba kuhudhuria tamasha lao
Watu wakijaa uwanjani,timu itapata pesa,hata diamond alipo perform Simba day last year mashabiki wa Yanga tulikuja kulicheza YOPE...hizi timu zinahitaji pesa mkuu.Ikiwa kama tunataka kupima uwezo wa timu kujaza mashabiki kwenye kinachoitwa Yanga Day , basi ni vema tuache kujidanganya kutumia ujanja ujanja kama huu ambao yanga wanautumia .
Kitendo cha kumleta Mopao uwanjani hii inamaanisha hata mimi Mwanasimba lazima nihudhurie tu , sisi wengine ni wapenzi halisi wa Rhumba na mimi ni mpenzi wa kutupwa wa Koffi , sasa kwenye nchi ambayo uchumi umekufa kiasi cha mapromota kushindwa kuleta mwanamuziki yeyote kwa miaka 8 , halafu inatokea nafasi ya kucheza Rhumba la Koffi hatuwezi kuacha .
Kwahiyo hata mkiona siku yenu watu wamejaa sana mjue sisi wengine tutakuja kusakata Rhumba tu , msije mkadhani MNA WATU , ukweli ni kwamba hamna lolote , kama mnabisha muondoeni Koffi Olomide muwekeni Konde Boy halafu muone nani atakuja .
Koffi ni level nyingine kabisa , hawa akina diamond ni wa kawaida tuMbona hizo timu za Kariakoo huwa zinaalika wasanii?
Mwaka jana Simba walikuwa na domo Diamond, na Yanga wakamleta yule kibushuti Harmonize
Sasa huenda mwaka huu kwa sababu Yanga imejaa bamutu ba Congo, wamemleta mmwaga mauno mwenzao
kwani umelazimishwa vp kwenda?si sawa kutulazimisha sisi wanasimba kuhudhuria tamasha lao
Tunda man amejitahidi sana kujipendekeza kwa hii timu wampe dili tu hiyo Simba day[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] ukiichukulia serious hii post unapasuka kwa hasira bure tu.
Mkuu karibu sana uburudike, sijui simba day mtamleta nani tunda man au na nyie mtamtoa nje? Wizkid au burnaboy. Msitufiche tuambieni jama!!
Wewe mbona Simba day ya msimu uliopita ulimleta Diamond tena kwa mbwembwe nyingi alishuka uwanjani kwa Helicopter kwa hiyo na wewe lengo lako lilikuwa kujaza watu uwajani kwa kuwa ulikuwa huna watu ukawashawishi kwa kuja uwanjani kwa kuleta wasanii kedekede uwanjani kutumbuiza.Ikiwa kama tunataka kupima uwezo wa timu kujaza mashabiki kwenye kinachoitwa Yanga Day , basi ni vema tuache kujidanganya kutumia ujanja ujanja kama huu ambao yanga wanautumia.
Kitendo cha kumleta Mopao uwanjani hii inamaanisha hata mimi Mwanasimba lazima nihudhurie tu , sisi wengine ni wapenzi halisi wa Rhumba na mimi ni mpenzi wa kutupwa wa Koffi , sasa kwenye nchi ambayo uchumi umekufa kiasi cha mapromota kushindwa kuleta mwanamuziki yeyote kwa miaka 8 , halafu inatokea nafasi ya kucheza Rhumba la Koffi hatuwezi kuacha.
Kwahiyo hata mkiona siku yenu watu wamejaa sana mjue sisi wengine tutakuja kusakata Rhumba tu , msije mkadhani MNA WATU , ukweli ni kwamba hamna lolote , kama mnabisha muondoeni Koffi Olomide muwekeni Konde Boy halafu muone nani atakuja.
View attachment 1906357
Saana man yan anatunga nyimbo lakini wapi jamaa kama hawamuoni vile 😂😂Tunda man amejitahidi sana kujipendekeza kwa hii timu wampe dili tu hiyo Simba day[emoji1787]
Alisikika mfa maji mmoja akitapatapaIkiwa kama tunataka kupima uwezo wa timu kujaza mashabiki kwenye kinachoitwa Yanga Day , basi ni vema tuache kujidanganya kutumia ujanja ujanja kama huu ambao yanga wanautumia.
Kitendo cha kumleta Mopao uwanjani hii inamaanisha hata mimi Mwanasimba lazima nihudhurie tu , sisi wengine ni wapenzi halisi wa Rhumba na mimi ni mpenzi wa kutupwa wa Koffi , sasa kwenye nchi ambayo uchumi umekufa kiasi cha mapromota kushindwa kuleta mwanamuziki yeyote kwa miaka 8 , halafu inatokea nafasi ya kucheza Rhumba la Koffi hatuwezi kuacha.
Kwahiyo hata mkiona siku yenu watu wamejaa sana mjue sisi wengine tutakuja kusakata Rhumba tu , msije mkadhani MNA WATU , ukweli ni kwamba hamna lolote , kama mnabisha muondoeni Koffi Olomide muwekeni Konde Boy halafu muone nani atakuja.
View attachment 1906357
Upo sawa kwa asilimia 💯 napenda Sana wadada wanaotoa mondo kwenye hoja zao, Mamie upo vizuriWatu wakijaa uwanjani,timu itapata pesa,hata diamond alipo perform Simba day last year mashabiki wa Yanga tulikuja kulicheza YOPE...hizi timu zinahitaji pesa mkuu.
Diamond wa kawaida kwa kigezo kipi?Koffi ni level nyingine kabisa , hawa akina diamond ni wa kawaida tu
Kuna mahali nilisoma huyu ni mwanamke toka mikoani (Nyanda za juu kusini).sasa unalalamika nini?
wanaume wa Dar bana.