Kitendo cha Yanga kumleta Koffi Olomide ni ujanja wa kujaza uwanja kwenye siku ya Wananchi, hawana watu wala nini

Kuna watu akili zao sijui huziweka wapi? wanapenda kukurupuka kabla ya kuanzisha uzi.
 
Watu wakijaa uwanjani,timu itapata pesa,hata diamond alipo perform Simba day last year mashabiki wa Yanga tulikuja kulicheza YOPE...hizi timu zinahitaji pesa mkuu.
 
Mbona hizo timu za Kariakoo huwa zinaalika wasanii?

Mwaka jana Simba walikuwa na domo Diamond, na Yanga wakamleta yule kibushuti Harmonize

Sasa huenda mwaka huu kwa sababu Yanga imejaa bamutu ba Congo, wamemleta mmwaga mauno mwenzao
 
Koffi ni level nyingine kabisa , hawa akina diamond ni wa kawaida tu
 
Mimi Simba ila Yanga wana haki ya kuleta burudani yoyote wanayo ona inafaa kuwapa burudani wapenzi wao mwaka jana Simba walileta Diamond na Yanga Konde sasa wanaenda level nyingine ni sawa tu.
 
Yanga ni wajanja sana kama CCM wanajua ladha ya muziki unaopendwa na watu wengi.

Sisi simba mnatuletea muziki wa viduku na wabongo fleva mnaboa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ukiichukulia serious hii post unapasuka kwa hasira bure tu.

Mkuu karibu sana uburudike, sijui simba day mtamleta nani tunda man au na nyie mtamtoa nje? Wizkid au burnaboy. Msitufiche tuambieni jama!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ukiichukulia serious hii post unapasuka kwa hasira bure tu.

Mkuu karibu sana uburudike, sijui simba day mtamleta nani tunda man au na nyie mtamtoa nje? Wizkid au burnaboy. Msitufiche tuambieni jama!!
Tunda man amejitahidi sana kujipendekeza kwa hii timu wampe dili tu hiyo Simba day[emoji1787]
 
Wewe mbona Simba day ya msimu uliopita ulimleta Diamond tena kwa mbwembwe nyingi alishuka uwanjani kwa Helicopter kwa hiyo na wewe lengo lako lilikuwa kujaza watu uwajani kwa kuwa ulikuwa huna watu ukawashawishi kwa kuja uwanjani kwa kuleta wasanii kedekede uwanjani kutumbuiza.
 
Alisikika mfa maji mmoja akitapatapa
 
Watu wakijaa uwanjani,timu itapata pesa,hata diamond alipo perform Simba day last year mashabiki wa Yanga tulikuja kulicheza YOPE...hizi timu zinahitaji pesa mkuu.
Upo sawa kwa asilimia πŸ’― napenda Sana wadada wanaotoa mondo kwenye hoja zao, Mamie upo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…