Voicefromvoiceless
Member
- Sep 14, 2023
- 82
- 74
Sijaelewa mantiki ya kugomea bei.Mbaazi ni mboga nyie jitoeni akili,au manataka bei za 100tsh kwa kilo.
Chukueni mpunga huo maisha yendelee
Hakuna akili kuna mafuvu tuYan Dar iuzwe 2400 na nyie mnataka 2350? Akili zipo kweli?
Gharama za usafiri Kwa Semitrela la kupakia Gunia 300 ni 1.5M ukigawa gharama zake za ote ni chini ya 70kwa KG? Na tofauti ya Soko la Kibaya ni zaidi 200/ Kwa kg chikulua mtu ana KG 60000 mara Tshs 200 ni zaidi ya Tshs 12M jee hiyo ni ndogoSihaelewa mantiki ya kugomea bei.
Sasa hapo tofauti ya Kibaya na Dar ni 250 mtu anataka apewe kibali aprleke dar atapeleka na ungo?
Hatalipia usafiri?
Hatakula njiani?
Hatalala lodge?
Akili za usiku hizi
Dar Bei ya Toka juzi 2450/Yan Dar iuzwe 2400 na nyie mnataka 2350? Akili zipo kweli?
Pamoja na kulipa gharama zote Bado mtu atapata Faida, Kama Bei inalipa hapo Kibaya kwanini watu walaximishe kuingia gharama?Sijaelewa mantiki ya kugomea bei.
Sasa hapo tofauti ya Kibaya na Dar ni 210 mtu anataka apewe kibali aprleke dar atapeleka na ungo?
Hatalipia usafiri?
Hatakula njiani?
Hatalala lodge?
Akili za usiku hizi
Kwa mfanyabiashara ashapiga hesabu zote hizo Soko lipo wazi, unapakia kwenye gari mzigo inapokelewa sokoni , na Hela unawekewa kwenye akaunti yako , kusafiri wanasafiri watumishi wasiojuwa Mipango mizuri ya matumizi ya Hela tupo kwenye Digital era unapima mzigo unajuwa KG zako then unapakia kwenye gari , unaingia gharama za usafirishaji bidhaa tu wewe inaendelea na mambo yako mengine.Sijaelewa mantiki ya kugomea bei.
Sasa hapo tofauti ya Kibaya na Dar ni 210 mtu anataka apewe kibali aprleke dar atapeleka na ungo?
Hatalipia usafiri?
Hatakula njiani?
Hatalala lodge?nyanya iashara
Akili za usiku hizi
Kwani mnakatazwa kusafirisha?Dar Bei ya Toka juzi 2450/
Wanakataza kusafirisha na hata hili Swala la Minada limekuja ghafla , watu hawakuwa na Taarifa, nikama watu wanalazimishwa kupeleka kwenye ghala , bila kujuwa BeiKwani mnakatazwa kusafirisha?
Nafikiri wengi ni madalaliInaitwa biashara. Unauza kama unaona faida. Usiwaze mwenzio anaenda kupata sh ngp Dar.
Piga hesabu zako za kulima kuhudumia adi kuvuna, kama ukiuza kwa iyo bei unapata faida uza, ata kama mwenzio anauza Dar mara 2 yako.
Mkulima mwenye kilo 60,000 sio mdogo uyo. Ebu tuongelee wakulima wadogo wadogo.Gharama za usafiri Kwa Semitrela la kupakia Gunia 300 ni 1.5M ukigawa gharama zake za ote ni chini ya 70kwa KG? Na tofauti ya Soko la Kibaya ni zaidi 200/ Kwa kg chikulua mtu ana KG 60000 mara Tshs 200 ni zaidi ya Tshs 12M jee hiyo ni ndogo
Kwa muda huu ni mwishoni mwa Msimu wakulima wengi wadogo walishauza mbazi Toka Mwezi August , Kwa Sasa zimebaki Kwa wakulima wakubwa, Hao wakulima wadogo huwa wanauza pale wakivuna tu, huwa hawasubiri habari za mida, Piya mbazi watu huwa wanachanga kupakia kuanzia Tani Moja ambapo Tani kumi fuso wanaweza kupakia watu watano Hadi Saba, wakiuza sokoni Hela inatumwa Kwa mtu Moja wanagawana, maana gharama za soko zipo wazi Dar es salaamMkulima mwenye kilo 60,000 sio mdogo uyo. Ebu tuongelee wakulima wadogo wadogo.
Nisipeleke sokoni Dar es salaam mwenyewe nikapate Bei halisi ya Soko. Gharama za kilimo zipo juu sana, Kuna changamoto nyingi sana kilimo Cha Kiteto wafugaji kulisha mashamba ya wakulima hiyo inapunguza kipato Cha mkulima na kufanya gharama za uendeshaji wa kilimo kuwa Juu, Eli mkulima aweze kukabili hizi gharama lazima apate Bei nzuri.Inaitwa biashara. Unauza kama unaona faida. Usiwaze mwenzio anaenda kupata sh ngp Dar.
Piga hesabu zako za kulima kuhudumia adi kuvuna, kama ukiuza kwa iyo bei unapata faida uza, ata kama mwenzio anauza Dar mara 2 yako.