Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

Hakuna akili kuna mafuvu tu
Wale wakutefemea 9-5, utawajua , Wana mawazo ya kuajiriwa , hawana mawazo chanya, wanaoshindwa kufikirria Kwa Kutumia akili, wewe unawaza kuajiriwa, hujue adha za kilimo na hustle za watu waliyojiajiri,
 
Hakuna akili kuna mafuvu tu
Wale wakutefemea 9-5, utawajua , Wana mawazo ya kuajiriwa , hawana mawazo chanya, wanaoshindwa kufikirria Kwa Kutumia akili, wewe unawaza kuajiriwa, hujue adha za kilimo na hustle za watu waliyojiajiri
 
BEI YA MNADA Leo tarehe 16/09 Bei iliyitika mwanzo 2130/ Kwa Kg Bado tofauti no zaidi Tshs 200/ Kwa kg ukizidisha Kwa kg 100 Gunia Moja ni 20,000/ zaidi hicho kiasi Kwa Gunia mia ni Milioni mbili
 
Kusafirisha hadi Dar, unaweza ukapta hasara kubwa sana, kwanza madalali+garama za kusafirisha
Unajuwa hasara kweli wewe ? Au wewe ni yule aliyenunua Mabasi na Hela ya kinua mgongo Cha kustafu , mwisho wake akaishia kufungua Banda la Chipsy!!
 
Hivi unadhani Kumiliki Hela ni jambo dogo? Mtaji wa Gunia mia mbili za Mbazi ni zaidi ya 55Millioni, ni mshahara wako Hadi una staff
Ukitaka kujua kumiliji Hela ni kazi, angalia una miliki Nini? Ukitoa salary loan yako?
Kwa sh. Ngapi gunia?
 
Issue ya akili or kutokuwa na akili hakuna sehemu or Aya iliyotaja hebu pitia Tena hiyo comment yako na yangu
 
Kiteto naifahamu kidogo, maeneo ya matui, kazi ngumu, chekanao , pori kwa pori , kibaya yenyewe, sehemu zote hizo ni wakulima wa mahindi tu. Mbaazi kidogo sana, wapi mtu mmoja atavuna gunia 60000?
 
Sema nini,
Serikali iwape tu ruhusa mlete dar mjifunze,
Ila m naona hio price ni fair ukicompare kote kuwili, kibaya na Dar
 
Hizo ni kg Ndugu yangu Kg 60,000. Ni Tani 60. Wastani wagunua 550 za kg 120. Hivi ni vitu vya kawaida Kwa Wilaya kiteto
Kiteto naifahamu kidogo, maeneo ya matui, kazi ngumu, chekanao , pori kwa pori , kibaya yenyewe, sehemu zote hizo ni wakulima wa mahindi tu. Mbaazi kidogo sana, wapi mtu mmoja atavuna gunia 60000?
 
Hizo ni kg Ndugu yangu Kg 60,000. Ni Tani 60. Wastani wagunua 550 za kg 120. Hivi ni vitu vya kawaida Kwa Wilaya
Kiteto naifahamu kidogo, maeneo ya matui, kazi ngumu, chekanao , pori kwa pori , kibaya yenyewe, sehemu zote hizo ni wakulima wa mahindi tu. Mbaazi kidogo sana, wapi mtu mmoja atavuna gunia 60000?
 
Kuna mkakati unatengemeza wa Vibali vya kusafirisha kupewa baadhi ya watu, Sasa Tunasema tuone hao watakaopewa Vibali na wengine wameambiwa hawapewi vibali.
 
Kwanini watu walazimishwe kubali Bei ya 2190/ Kwa KG? Soko huria Halimashauri chukueni Ushuru wenu watu wapeleke kwenye masoko wanavyotaka wao wenye Mbazi zao
 
Back
Top Bottom