Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Kuna Afisa Moja alikula viboko huko kusini. Kamateni hao watu muwafanye Ile kitu kama ya pori namba 3 muone kama watarudia.Wakulima Wa Zao la MBAZI Wilayani KITETO ,wanalalamikia kuwa Mbazi zao zimechukuliwa Toka weeki iliyopita na Fedha hawajapata na Wala hawajui lini watalipwa Fedha Zao, Huku wengine wakilalamoka kuwa Mbazi zao zimechukuliwa Kwa Kutumia Nguvu Toka majumbani Mwao ,wakiwa wanatoa Shambani na kutishiwa kuwa watapeleka mahakamzni,
Kuna 'mkulima Moja anasema smrchukuluwa Tani Moja ya Mbazi na kupelekwa ghalani Halafu zikapakiwa kwenye fuso tandamu na kusafirishwa kwenda Dar es salaam,
Wakulima wengine wawili wanasema mzigo wao ulikuwa kwenye canter ukachuliwa na kupelekwa ghalani na Kupakia kwenye fuso tandamu kupelekwa Dar es salaam, Habari zilizopo hapa Kibaya ni kuwa hakuna mtu Wala kampuni iliyonunua hizo mbazi ila ni wajanja wachache kutoka Arusha na hapo Kibaya nmjini wa michezo Deal na kupiga pesa.
Bado tunalifuatilia hili Swala Kwa Undani , tutazidi kutia report , mpaka Sasa report ipo tayari tunamaluzia sehemu ndogo ndogo , Kuna wadau Wapiga Hela kwenye Minada Hapa Kibaya
Mliwahi kupata OCD Moja aliewanyosha watu wa namna hiyo, mkampiga majungu mpaka akahamishwa mkaletewa wale walevi na wagonjwa wa akili wanaojijengea makaburi kabla hawajafa😂😂