Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

ooh sawa...sasa mbona kuna watu huwa wanasema eti Dodoma ni Jangwa mahindi hayastawi🤣🤣
cc Mikdde ChoiceVariable Kitombile Wyatt Mathewson
Wilaya ya chamwino- dabalo, izava, itiso, haneti, sigara, male Hela, manyusi, ndebesi, nyembaynemva, Mpwawa karibu yote, kongwa- songambele, mkoma, hogolo, china Gali, zousa, pungalame chitego, makawa, matongolo, hba hemba, banyibanyi, ngomai, kibaigwa, panda mbili, mtanana, Wilaya Chemba na kondoa
wababaishaji tu hao juzi walitangaza mnada utafinyika community centre kutokana na bei kiduchu watu wakagoma,baadaye wakabadili gia oh mnada utafanyika sleepway kwa mama tanesco cjui ni akili gani hii, au mama tanesco ndo ataongeza dau
 
wababaishaji tu hao juzi walitangaza mnada utafinyika community centre kutokana na bei kiduchu watu wakagoma,baadaye wakabadili gia oh mnada utafanyika sleepway kwa mama tanesco cjui ni akili gani hii, au mama tanesco ndo ataongeza dau
Tujipange kwenda mbele zaidi Kwa Mh Raisi timuelezr Hali halisi ya Wana kiteto
 
Kiteto watu wanapelekwa, vyombo vya habari wandishi wamekatazwa kurepiti Hii issue , tunaomba wameliki wa vyombo vya habari mjitahidi kuwa fair , mtoe report za maemdeleo ya mnada , na wananchi wanavyojibiwa Kwa dharau na kebehi majivuno,
 
Wilaya ya chamwino- dabalo, izava, itiso, haneti, sigara, male Hela, manyusi, ndebesi, nyembaynemva, Mpwawa karibu yote, kongwa- songambele, mkoma, hogolo, china Gali, zousa, pungalame chitego, makawa, matongolo, hba hemba, banyibanyi, ngomai, kibaigwa, panda mbili, mtanana, Wilaya Chemba na kondoa
cc Mikdde
 
Sijaelewa mantiki ya kugomea bei.
Sasa hapo tofauti ya Kibaya na Dar ni 210 mtu anataka apewe kibali aprleke dar atapeleka na ungo?
Hatalipia usafiri?
Hatakula njiani?
Hatalala lodge?

Akili za usiku hizi
210× kg 15000
 
Kwani Dar huo mzigo utasafirishwa bure?
Shida kubwa ya Watanzania akili zetu huwa zinashuks chini, Juu tunabaki empty,
Nauli ya dar Kwa guns la 100-120kg kusafirisha ni Tshs 7000- 8000 Kwa fuso na scania ton 25, ukieta semi trela Kwa Prosper Dodoma or zinazotoka Burundi na Rwanda wanakupalia Kwa Tsh 5000/ Kwa Gunia ushuru na wapakiaji Tsh2000/

Dalali sokoni Kwa Haji or Barcuda Tshs 750 Kwa Gunia Bei ya kuuzia Kwa kg Moja Ni Tsh 2400- 2445/ haya tumia vizuri akili zako jumlisha, toa na zifisha hapo utapata tofauti ya 2millioni kwenye Toni 15. Jee hiyo Milioni mbili ni ni ndogo?

Chikulua Mr Glenn salary yako yote baada ya Makati kuanza jaudha damu ba salary loan una kuta inabakiea na Elfu Hamsini ,halafu unataka kukuliza maswali ya kitoto
 
Shida kubwa ya Watanzania akili zetu huwa zinashuks chini, Juu tunabaki empty,
Nauli ya dar Kwa guns la 100-120kg kusafirisha ni Tshs 7000- 8000 Kwa fuso na scania ton 25, ukieta semi trela Kwa Prosper

Pambanaeni hii inshu ya stakabadhi ni unyonyaji dhidi ya mkulima.

By the way heka moja ya mbaazi inaweza toa kilo ngapi.
 
Sijaelewa mantiki ya kugomea bei.
Sasa hapo tofauti ya Kibaya na Dar ni 210 mtu anataka apewe kibali aprleke dar atapeleka na ungo?
Hatalipia usafiri?
Hatakula njiani?
Hatalala lodge?

Akili za usiku hizi
Afu ukute anaye goma kuuza na kulilia bei ya Dar ana junia 2 tu!
Economies of scale hakuna...
Kama ana junia 200 sawa
 
Wakulima Wa Zao la MBAZI Wilayani KITETO ,wanalalamikia kuwa Mbazi zao zimechukuliwa Toka weeki iliyopita na Fedha hawajapata na Wala hawajui lini watalipwa Fedha Zao, Huku wengine wakilalamoka kuwa Mbazi zao zimechukuliwa Kwa Kutumia Nguvu Toka majumbani Mwao ,wakiwa wanatoa Shambani na kutishiwa kuwa watapeleka mahakamzni,

Kuna 'mkulima Moja anasema smrchukuluwa Tani Moja ya Mbazi na kupelekwa ghalani Halafu zikapakiwa kwenye fuso tandamu na kusafirishwa kwenda Dar es salaam,

Wakulima wengine wawili wanasema mzigo wao ulikuwa kwenye canter ukachuliwa na kupelekwa ghalani na Kupakia kwenye fuso tandamu kupelekwa Dar es salaam, Habari zilizopo hapa Kibaya ni kuwa hakuna mtu Wala kampuni iliyonunua hizo mbazi ila ni wajanja wachache kutoka Arusha na hapo Kibaya nmjini wa michezo Deal na kupiga pesa.

Bado tunalifuatilia hili Swala Kwa Undani , tutazidi kutia report , mpaka Sasa report ipo tayari tunamaluzia sehemu ndogo ndogo , Kuna wadau Wapiga Hela kwenye Minada Hapa Kibaya
 
Hatimae. Walio nyuma ya Mnada wa mbazi wamejulikana ,baada ya wakulima kushindwa kulipwa Fedha Zao na MBAZI kusafirishwa kwenda Dar
 
Angalia Sasa hao wa Mnada wenyewe wanapenda kuuza soko la Dar es salaam, na mdalalibwa Mnada wamejulikana, uwe Mpole na ufuatilie vitu
Kibaya zaidi wao watawalipa Wakulima kati 2100/ Hadi 2150 wakati wao mbazi wameuza kwa zaidi Tshs 2400/ na kumwambia dalali Wa Dar es salaam ambae atawsgichia Siri .

Wamechukuwa mbazi Kwa Nguvu na kwenda kuziuza wao huo ni udalali wa Kutumia nguvu
 
Sijaelewa mantiki ya kugomea bei.
Sasa hapo tofauti ya Kibaya na Dar ni 210 mtu anataka apewe kibali aprleke dar atapeleka na ungo?
Hatalipia usafiri?
Hatakula njiani?
Hatalala lodge?

Akili za usiku hizi
Bila shaka hiyo bei Ina makati kibao ambayo wakipeleka Dar hayatakuwepo.

Kama ulishawahi kuuza zao lolote kwenye vyama vya ushitika utaelewa
 
Kwanini

Nisipeleke sokoni Dar es salaam mwenyewe nikapate Bei halisi ya Soko. Gharama za kilimo zipo juu sana, Kuna changamoto nyingi sana kilimo Cha Kiteto wafugaji kulisha mashamba ya wakulima hiyo inapunguza kipato Cha mkulima na kufanya gharama za uendeshaji wa kilimo kuwa Juu, Eli mkulima aweze kukabili hizi gharama lazima apate Bei nzuri.
.Kilimo Cha. Mbazi Kwa Kiteto ekari Moja unaweza pata Gunia Moja ama liwe chini ya Gunia angalia gharama za Kulima ekari Moja ni shilingi ngapi?
Ndio upige hesabu hiyo Bei na kipato Kwa ekari Moja ndio changamoto kubwa, ukiwa unajadili angalia ekari Moja mtu anavuna kiasi Gani? Kwa sisi tunaolima pori namba Moja mwaka huu tumekosa kabisa Mazao Shambani , tunatefemea hicho kidogo tulichopata kwenye Mbazi
We jamaa namba yako naipiga haipatikani mda mrefu. Nilitaka nimuulize ule ugomvi wa mashamba pori namba 2 uliishia wapi? Nataka kurudi kwenye mashamba yangu
 
Juzi nimeona kwenye taarifa ya habari, nadhani ni utv wale,wenzao lindi wanasifia bei ya 1950.
Ila nilipoona wasifiaji wamevaa nguo za kijani na njano, nikapata mashaka na habari ile.😂🤣
Mbaazi ya kule haifai, Huwa inauzwa 500 Hadi buku, Kwa hiyo bei lazima wafurahi.
 
Back
Top Bottom