Voicefromvoiceless
Member
- Sep 14, 2023
- 82
- 74
- Thread starter
- #41
Jumatatunni safari ya Kwenda mbele kutafuta Haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unajigamba sana, pengine hta hela yenyewe ni mkopo, ujambazi, dhulma.Issue ya akili or kutokuwa na akili hakuna sehemu or Aya iliyotaja hebu pitia Tena hiyo comment yako na yangu
Hela Haina chapa , pesa ni pesa baba angalia USA anasumbua Dunia na Hela zipi?Mbona unajigamba sana, pengine hta hela yenyewe ni mkopo, ujambazi, dhulma.
Pesa zetu ni Halali zinatoka mashambani hebu tembelea pori namba Moja or mbiri, ndio urajua sector ya kilimo Ina pesa kiasi Gani, hebu tembea nduguMbona unajigamba sana, pengine hta hela yenyewe ni mkopo, ujambazi, dhulma.
Eka moja inatoa gunia moja sasa utalima eka ngapi ili upate pesa ya maana, au mnachanganya na mazao y a njeKwanini
Nisipeleke sokoni Dar es salaam mwenyewe nikapate Bei halisi ya Soko. Gharama za kilimo zipo juu sana, Kuna changamoto nyingi sana kilimo Cha Kiteto wafugaji kulisha mashamba ya wakulima hiyo inapunguza kipato Cha mkulima na kufanya gharama za uendeshaji wa kilimo kuwa Juu, Eli mkulima aweze kukabili hizi gharama lazima apate Bei nzuri.
.Kilimo Cha. Mbazi Kwa Kiteto ekari Moja unaweza pata Gunia Moja ama liwe chini ya Gunia angalia gharama za Kulima ekari Moja ni shilingi ngapi?
Ndio upige hesabu hiyo Bei na kipato Kwa ekari Moja ndio changamoto kubwa, ukiwa unajadili angalia ekari Moja mtu anavuna kiasi Gani? Kwa sisi tunaolima pori namba Moja mwaka huu tumekosa kabisa Mazao Shambani , tunatefemea hicho kidogo tulichopata kwenye Mbazi
Huwa wanachanga ya na Mahindi, mwaka huu Mahindi yamewaumiza watu, Mbazi ndio inawasadia kurudisha gharama zaoEka moja inatoa gunia moja sasa utalima eka ngapi ili upate pesa ya maana, au mnachanganya na mazao y a nje
Tatizo wakulima pia hawana mmoja, mkigoma kuuza wengine wanauza tena bei ndogoHuwa wanachanga ya na Mahindi, mwaka huu Mahindi yamewaumiza watu, Mbazi ndio inawasadia kurudisha gharama zao
Kangomba tulisha wakataa...Tatizo wakulima pia hawana mmoja, mkigoma kuuza wengine wanauza tena bei ndogo
Nunua wewe au zitunze usubiri bei nzuri zaidiKangomba tulisha wakataa...
Wachimbaji wadogo wa dhahabu huwezi walangua, wanafahamu soko linavyoenda kuanzia soko la dunia, dar, nairobi nk
Hawa watu wq kiteto, kondoa wasikilizwe wasaidiwe na wauze kwa bei nzuri, wahindi wasiwasumbue... hili zao wqnunuzi wakuu wahindi wana peleka kwao
Changamoto Kuna Binge Moja zamani alikuwa Kwa Haji dalali ndio anawapeleka puts watu wote pale amekula deal na watu wachache wapige Hela ,Kangomba tulisha wakataa...
Wachimbaji wadogo wa dhahabu huwezi walangua, wanafahamu soko linavyoenda kuanzia soko la dunia, dar, nairobi nk
Hawa watu wq kiteto, kondoa wasikilizwe wasaidiwe na wauze kwa bei nzuri, wahindi wasiwasumbue... hili zao wqnunuzi wakuu wahindi wana peleka kwao
acha ujinga unaona mbazi ni kitu cha kuringia sokoniWakulima wa Mbazi Leo Tena saa 4 asubuhi watakutana na Mkuu wa Wilaya Kiteto kujuwa Hatima ya Mbazi zao. msimamo wao Bado upo pale pale ama wapewe Bei nzuri au Kibali Cha kusafirisha Mbazi Zetu kwenda kwenye Soko la Dar es salaam
Umeweka gharama za labor, warehouse, chakula na malazi? Au ukifika Dar tu unauza juu ya gari unarudi kwenu?Gharama za usafiri Kwa Semitrela la kupakia Gunia 300 ni 1.5M ukigawa gharama zake za ote ni chini ya 70kwa KG? Na tofauti ya Soko la Kibaya ni zaidi 200/ Kwa kg chikulua mtu ana KG 60000 mara Tshs 200 ni zaidi ya Tshs 12M jee hiyo ni ndogo
Dunia ya Sasa huna haha ya kusafiri Kuna magari mengi tu hapa Kibaya mjini, unapakia mzigo wako na idadi ya kg zako gari linapikelewa sokoni Kwa Haji ama Barracuda na dalali Wa haya Mazao ni Moja tu Anaitwa Malick baada ya masaa mawili ama matano muamala unasoma kwenye akauntiUmeweka gharama za labor, warehouse, chakula na malazi? Au ukifika Dar tu unauza juu ya gari unarudi kwenu?
Mbazi no Moja ya Mazao muhimu sana Kwa Uchumi wa Nchi kama likipewa kipaumbele litaongeza Fedha za Kigeni , Unajuwa Balance of payment? Sasa mbazi inakwenda kuongeza kitu pale kwenye Export, wewe inabaki Dola hamna hujue jinsi ya kupata Dola kwenye Uchumi ni pamoja na kuongeza uzalishaji wa haya mazaoacha ujinga unaona mbazi ni kitu cha kuringia sokoni
Kwahiyo dalali Malick atakuuzia kwa 2,400 na kukutumia net bila kuweka commission yake?Dunia ya Sasa huna haha ya kusafiri Kuna magari mengi tu hapa Kibaya mjini, unapakia mzigo wako na idadi ya kg zako gari linapikelewa sokoni Kwa Haji ama Barracuda na dalali Wa haya Mazao ni Moja tu Anaitwa Malick baada ya masaa mawili ama matano muamala unasoma kwenye akaunti
Hao "watu" unaotaka wapewe vibali vya kusafirisha mbaazi kupeleka Dar ni wakulima au madalali?Mnada huo ambao ulitarajiwa kufanyika toka Jumanne, uliahirishwa mara mbili na hatimaye kufanyika Alhamisi 14/09. Wakulima zao la Mbaazi, walishangazwa na bei ya mnada kuwa chini kuliko matarajio.
Kwa masikitiko makubwa walitangaziwa Bei ya Tshs 2190/ Ukiniunganisha na Bei ya Mbaazi Kwa soko la Dar es salaam ambayo inauzwa Kwa Tshs 2400/ na zaidi
Tunaomba Serikali ingilie kati hili suala la Wakulima wa MBAAZI Kibaya - Kiteto
Tunaomba Bei ikiwa chini ya Tshs 2350/ kwa KG Moja basi watu wapewe kibali cha kusafirisha kupeleka Dar es Salaam