Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

Kuna Afisa Moja alikula viboko huko kusini. Kamateni hao watu muwafanye Ile kitu kama ya pori namba 3 muone kama watarudia.

Mliwahi kupata OCD Moja aliewanyosha watu wa namna hiyo, mkampiga majungu mpaka akahamishwa mkaletewa wale walevi na wagonjwa wa akili wanaojijengea makaburi kabla hawajafa😂😂
 
Nchi ya kipumbavu hii , inamdumaza na kumkandamiza mkulima kila kona ,halafu bado tunawaza maendeleo ya kilimo.
Pumbavu sana
 
Gharama za usafiri Kwa Semitrela la kupakia Gunia 300 ni 1.5M ukigawa gharama zake za ote ni chini ya 70kwa KG? Na tofauti ya Soko la Kibaya ni zaidi 200/ Kwa kg chikulua mtu ana KG 60000 mara Tshs 200 ni zaidi ya Tshs 12M jee hiyo ni ndogo
Ni kweli hiyo siyo ndogo, lakini gharama siyo usafiri tu. Hata ukipewa wewe kupeleka unajuwa soko liko wapi? Inabidi uwatafute madalali wa huko ili waweze kukuuzia Usipoangalia unaweza kuingizwa mjini! Kama bei Dar ni Sh 2400, mkulima wa kiteto akipata 2200 ni sawa tu. Hiyo 200 ni kwa ajili ya gharazama za kuzifikisha DAR.. bima, usafiri, faida, gharama za AMCOS n.k. Ninyi mlitaka anayesafirisha kwenda Dar asipate faida. Nafikiri tatizo hapa ni pale DC anapokuwa dalali.
 
Asee hata sisi vijana ambao tupo kwenye early 20s na tuhobby ya kilimo inatukatisha tamaa[emoji174]
 
Gharama za usafiri Kwa Semitrela la kupakia Gunia 300 ni 1.5M ukigawa gharama zake za ote ni chini ya 70kwa KG? Na tofauti ya Soko la Kibaya ni zaidi 200/ Kwa kg chikulua mtu ana KG 60000 mara Tshs 200 ni zaidi ya Tshs 12M jee hiyo ni ndogo
Nipo Simanjiro. Nataka kulima mbaazi. Mbegu gani mnatumia na inapatikana wapi?
 
Sakata lenu liliishaje? Mnauza kwa bei gani sasa? Mbona uko kimya sana, ulifungwa au kupotezwa kutokana na ukorofi wako?
 
Sijaelewa mantiki ya kugomea bei.
Sasa hapo tofauti ya Kibaya na Dar ni 210 mtu anataka apewe kibali aprleke dar atapeleka na ungo?
Hatalipia usafiri?
Hatakula njiani?
Hatalala lodge?

Akili za usiku hizi
Wqnafikitia kwa kutumia masaburi, gharama ya kufikisha kilo Moja ya mbaazi dar toka kibaya ni TZS 150. Bado kuna associated risk kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…