KITIMOTO nyama tamu ambayo ni zawadi kutoka kwa MUNGU

Nguruwe noma! Jiulze kwanini kilo ya nyama ya ng'ombe 6000 halafu chairfire 12000, jaribu uvumbue ni i kinaipa bei, ni utamu tuu sio kingne

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app

duh hapana yale malayer ya mafuta yake uwiiiii
 
jaman mnaboa mjue !humu si kuna waislam na wasabato? mshindwe
kwani wamelishwa??[emoji2] [emoji2]

alafu kabla hujafungua uzi unakiona kichwa cha habari ni kuamua tu kutokufungua uzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

/Akifa shekhe kazi ya Mungu/
/Akifa mlevi sababu ya Pombe/
 
Umenikumbusha Mkuu hutupi kitu kwa huyo mnyama [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji118] [emoji117] pilau lake....ukishushia na [emoji118] [emoji117] kanatokea jasho [emoji39] au [emoji117] ...[emoji39] [emoji39] alihamdulilahi [emoji106]
 
Sawa kitimoto tam lkn ukwel wa dhati utokao mvunguni mwa moyo Wng kwangu kitam kuliko vyote ni kyuma hakika bwn apewe CFA[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sawa kitimoto tam lkn ukwel wa dhati utokao mvunguni mwa moyo Wng kwangu kitam kuliko vyote ni kyuma hakika bwn apewe CFA[emoji120][emoji120][emoji120]
Umeonja hii [emoji117] utaona hii [emoji117] sio tamu [emoji4]
 
kwani wamelishwa??[emoji2] [emoji2]

alafu kabla hujafungua uzi unakiona kichwa cha habari ni kuamua tu kutokufungua uzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

/Akifa shekhe kazi ya Mungu/
/Akifa mlevi sababu ya Pombe/
Ahahahahaha akifa shekh mipango ya mungu

Akifa mlev sababu ya ulevii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…