Hao ni watu walio kengeuka na kumkosea MuumbaUnasema MNG hakuumba halamu je shoga nae si aliuumbwa jamani au yy ilikuwaje akawa shoga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mkuu njoo hii meza ya chin ukiwa unaelekea jikon kata kushoto nipo nimeket tuchafue mezaDah natokwa na udenda hapa, umekaa meza gani nikufuate mkuu?
Unakosea sana kusema ya taifa sema ya kimataifaKitimoto ni nyama ya taifa.
Naona kama nimekukumbusha vileDah juzi niliigonga na Mpwa wangu fulani hahahahaha
Nywanoko ebheAstaghafyullilah la khaula lakwata!!!
An ant on the move does more than a dozing ox.
Mkuu kula mdudu siyo dhambi wala nguruwe siyo haramu wasikudanganyeMdudu special huyo, kama kula vizuri ni dhambi basi wacha tu na iwe maana kuna nyingi mbaya zmeshafanyika.
Bodaboda zinasababisha sana ajali, lakini bado unapanda tu. Kwichikwichi inaleta ugonjwa usio na tiba, lakini bado umo! Usichague vya kuharamisha.jaman ktk kitu amabvho hakitaingia mwilin mwangu ni hiki chakula !yaan nimeharibu asbh yangu !pyeee !yaan ni zaid ya kharamu !nguruwe ana magonjwa meng sana ! dah thts y sipendag deep kiss
Ha haha et ninisina kinyaa cha mapenz aiseei nice fu.ck must be dirty lol !mie kinyaa kipo kwa mtu mlaji wa haya madude na sigara !nikijua siku hiyo umekula kaa mbali na mbiti
Nisaidie kuwaeleza hao mkuuView attachment 586030
Pambaneni na hali zenu...uzi unajionesha kwenye heading, mmeufungulia nini kama kweli hamshiriki?
HahahahahaaaaaaMdudu wa zip unamla hadi unalia, unashindwaje kula hiyo nyama? Kuna kiumbe kibaya zaidi ya hicho cha zip?
Mungu ni mwema sana mkuu anatupenda sana hadi akatuletea hii kituAsante Mungu kwa ajili ya nyama hii tamu.
Wakalipue mbuga za wanyama hizo sehemu waziache kabisaMechaka saaaaana, bola nchi nzima ilipuliwe ila sio eneo lenye hot chair
Amina balikiwa sana mtumishi lakin hujagusia kwenye mduduLabda tu nikuweke sawa.
Eva ndiye alieumbwa kwa ajili ya Adamu..na SIO Adam kwaajili ya eva.
Mwanamke Ndiye kaumbwa kwaajili ya Mwanaume na sio Mwanaume kwaajili ya Mwanamke.
It is not two way. It is a straight one way. Thats it.
Sent using Jamii Forums mobile app
ShaaaabaaaashiiiiiiiiiHakuna nyama tamu DUNIAN kama hii..af sjawai ona watu wanafki kama hawa jamaa ambao hawaitumii,..ni sawa useme hupend kupiga KAVU..bullshit..
Wewe wale wa polini nao jee!!