Kitu gani cha kawaida hujawahi kufanya?

Unahisi Kila mtu atakundunda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa. Na kweli mdogo wangu imekuwa kinyume kabisa mana mi huwa naangalia tu watu wakicheza na maji lakini sijawahi kushawishika nipo radhi niwe mtazamaji tu lakini si kuyaingia.
Pole jamani My Dada..
Kuogelea raha mno.. halafu mimi nimejua kuogelea pasipo hata kufundishwa..
Itabidi nikufundishe..
 
Hapa nilikuwa najiuliza ni nini at least umenionesha. Sijawahi fanya birthday party wala hata kukata keki yenye jina langu. Poor me 😁
We are in this together bro, usijiskie mpwekeπŸ˜‚ japo me keki nilikata mara moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…