Hivi bhangi ni kitu cha kawaida. Mimi sijaitaja maana sijawahi kutumia na sijawahi kuona ni kitu cha kawaidaKwenda club ilikuwaga ndio Hobie yangu kubwa when i was under 22.ila pombe sigara bangi hivi vitu sijawahi vitumia
Yaani maumivu yake acha tu...alafu na bado tutaendelea kuumia kwa sababu wanaotuumiza wenyew hawazijui shida tunazopata na wanatumia nguvu kubwa kuendelea kututawala..😉😉tuko nyuma sana mkuu! Inaumiza sana
😆😆..ila watoto bado wanadai ..wenyewe wanajua "birthday=cake..!..." Ukitaja tu birthday wanajua ni keki😆!😂😂😂😂 kumbe huwa una muda. Mimi nilijua kazi kazi tu
Hivi bhangi ni kitu cha kawaida. Mimi sijaitaja maana sijawahi kutumia na sijawahi kuona ni kitu cha kawaida
😂😂 ahh mimi huwa napewa zawadi na mawish tena wengine kabla ya muda. Hata nikiwa home huwa hawasahau birthday yangu hivyo watapika tu chakula kizuri lakini hakuna aliyewahi kufikiria kuninunulia cakeWe are in this together bro, usijiskie mpweke😂 japo me keki nilikata mara moja tu.
yaani maumivu yake acha tu...alafu na bado tutaendelea kuumia kwa sababu wanaotuumiza wenyew hawazijui shida tunazopata na wanatumia nguvu kubwa kuendelea kututawala..
😆😆..ila watoto bado wanadai ..wenyewe wanajua "birthday=cake..!..." Ukitaja tu birthday wanajua ni keki😆!
Iliangukia siku y sikuukuu nikaona uvivu heka heka za keki na masherehe(pia nadhani kukua)unachukulia poa
Vizuri,wanawake wasiopenda hizi mambo naona kama mpo wachacheKeki ya bday yangu kwa mara ya kwanza nilikula last yr, kikundi kilininunulia bt mwenyewe sijawah kununua wala kuhangaikia na haijawah kunipa mawazo hyo siku maana siku zingine bday inapitaga tu hivi hivi kama sina plan yoyote.
Nilishawahi kukaa na wavuta bhangi actually nina marafiki zaidi ya wawili wanapuliza 😂😂😂. Ni watu real sana hafu wakivuta hawana mapepe kama ya walevi, wanakuwa cool sana na hapo zinapigwa nyimbo za reggae na hiphop halafu tunamalizwa kabisa na speeches za watu wakubwa duniani 😂Mie nna hate na mvuta bang yyt yule! Hate kbs !
Ni kweli mkuu,ila samtaimz maji ya shingo
Serious mkuu !!!1.Sijawahi kupanda pikipiki ya aina yoyote
Mkuu na wewe bado?
Hahaha basi keki huna bahati nazo mkuu, but bora kama siku yako wanaifanya somehow special.😂😂 ahh mimi huwa napewa zawadi na mawish tena wengine kabla ya muda. Hata nikiwa home huwa hawasahau birthday yangu hivyo watapika tu chakula kizuri lakini hakuna aliyewahi kufikiria kuninunulia cake
Me hata wa sigara tuMie nna hate na mvuta bang yyt yule! Hate kbs !
Ni kitu cha kawaida mbona, tatizo mmeitia ubaya lakini mmea hauna tabu na mtu,Hivi bhangi ni kitu cha kawaida. Mimi sijaitaja maana sijawahi kutumia na sijawahi kuona ni kitu cha kawaida