Kitu gani kikubwa ulichowahi kuhonga au kuhongwa ambacho hutakisahau maishani mwako?

Nani ulimuitaa halaf akakuchuniaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Demiss jamani.
Kanikasirikia.naomba ukaniombee msamaha.. Yani sikumaanisha kitu kibaya
Kwenye uzi wake wa jana wa kukimbia watu mimi nikakoment "umalaya tu" kumbe yy kaichukulia serious.
Kanibembelezee mwambia nampenda. Nitakupa maua umpelekee pia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Demiss jamani.
Kanikasirikia.naomba ukaniombee msamaha.. Yani sikumaanisha kitu kibaya
Kwenye uzi wake wa jana wa kukimbia watu mimi nikakoment "umalaya tu" kumbe yy kaichukulia serious.
Kanibembelezee mwambia nampenda. Nitakupa maua umpelekee pia
Niliiona ile komenta yakoo,,hayaa tuma pesa tukusamehe tuigawanee nusu nusuu
Demiss msamehe ivugaa ila mpaka atume pesa tugawane
 
Nilihonga 120,000 boom langu la kwanza cha ajabu dem akaona kama sijafanya kitu roho iliniuma sanaa kwakweli nikichek na life langu la home kuanzia hapo sitaki kuhonga kabisa labda niwe doni
 
Nilihonga heren za gold siku ya bday yake. Mpaka siku mtu anamwona kazivaa akamwamwuliza umenunua wapi, akamwambia nilipewa zawad. Yule mtu akamwambia kama ni mpenz wako mheshimu sana. Leo hii hata sijui aliko
 
hahahaha hiyo siyo kuhonga nadhani ulikua ni upendo wa dhati kwake! wala hukulogwa.
 
Nilipokuwa A'level, niliwahi kuhonga pesa niliyopewa ili ninunue kiwanja cha kujenga nyumba, kutoka Abroad. Nilizigawa nusu kwa nusu.
Nilikwenda ku-change Euro dah!
Hii Siwezi isahau

Siwezi kuwasema wanawake walionitunuku zawadi zao mtandaoni kwakweli ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…